Role model wako Mkuu wa uhamiaji kagera aliyeshikilia bango kua Askofu Severin sio raia ametutojlka hapo juzi tu.......Wewe ni mkenya inajulikana hiyo..unajikomba komba kwa watz ili ujue kiswahili cha huku uzamie...hakuna mtz mwenye pigo za hivi...Nenda kwa manyang'au wenzio.
Ana kosa gan?Aiseeee
Hivi inadhihirisha huyu kigogo2014 kila asemacho ni kweli, hata kama chumvi itakolea sana lakini ni ukweliKigogo
Ili iweje?
Bibi andika vizuri nikuelewe, umeniacha hapo kidogo.. Nisije nikawa nimeelewa vibaya..Kukutwa 'positive" na vipimo byetu vya corona hakumaanishi Una Corona.
Kinaweza kuwa ni kirusi chochote. Cha kufanya ni kujifusha haraka Sana na baada yahapo kunywa mcuanganyiko wa liamao na tangawizi uwe inayokuwa hadhi mojankwa.moja.
.hiyo Una boost natural immunity yako na Immunity yako inapambana na kirusi chochote ulichonacho haraka sana.
Wenginhawafahamunkujifuaha kunakuongezea hiyo lamwili na kuongeza joto la mwili ni njia nzuri sana ya ku boost natural immunity yako.
Hivi wewe nalya ke kutoka kwako ?Ulenichola chola sana. Nagugutwala Gamboshi. Lushindo lwako.
MUNGU hadhihakiwi, kile apandacho mtu ndicho atakachovuna
Yaani ung'wenuyo,atogilwe sana ugunifatilia.Twikondelaghi baghosha!!
Ila ilombo lyane umenifurahisha sana....
Lelushindo lwake!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mtoto wa Mbowe alitangazwa na nani vile?Amejitangazaje bila ruhusa ya Mwenyekiti au PM???
Mtu anayetuombea mabaya si rafiki kwetu,na hatufai.Role model wako Mkuu wa uhamiaji kagera aliyeshikilia bango kua Askofu Severin sio raia ametutojlka hapo juzi tu.......
ww umebaki unaendeleza dhambi hii mbaya ya ubaguzi kutoka kwa role model wako....
KISA BUKU 7 ZA LUMUMBA BASI🤔🤔
Hakuna aliyesalama dunia nzima sasa hivi.Ugonjwa upo kila mahali. Ni ngumu kujua aliupata wapi. Makonda nae anapambania afya yake.
leo hakuna wa kukusaidia kuhaririKukutwa 'positive" na vipimo byetu vya corona hakumaanishi Una Corona.
Kinaweza kuwa ni kirusi chochote. Cha kufanya ni kujifusha haraka Sana na baada yahapo kunywa mcuanganyiko wa liamao na tangawizi uwe inayokuwa hadhi mojankwa.moja.
.hiyo Una boost natural immunity yako na Immunity yako inapambana na kirusi chochote ulichonacho haraka sana.
Wenginhawafahamunkujifuaha kunakuongezea hiyo lamwili na kuongeza joto la mwili ni njia nzuri sana ya ku boost natural immunity yako.
Unafikiri Nani ambae ana "guarantee" ya kuwa hatampata Corona?Mungu amlinde huyu Mama yetu ila Mungu hakikisha kuwa yule pilato wa Chato anapata Corona!
Nenda Amana.Sijui akina sisi tukapime wapi
Haaa[emoji1]Hiyo mitako itavuka kweli???/
Nasubiri tanzia ya libashite nichinje kuku wangu wa ngama
"Dalili" na "symptomatic" tofauti yake nini?Inasikitisha. Mbona mwananchi wa kawaida ambaye ni asymptomatic haruhusiwi kupimwa? Watu wanaambiwa lazima wawe na dalili za COVID-19. Sasa kuna mwingine akionyesha dalili ni too late.
Hi siyo simulizi. Kuna watu wa karibu wamerudishwa kwamba hawawezi kupimwa maana hawajaonyesha dalili na walikuwa na ukaribu na waliyothibitishwa kuwa na COVID-19. Kweli kwenye ugonjwa pia kuna matabaka...
Na ogopa sana wale ambao ni asymptomatic - wanasambaza hatari, bila hata wao kujijua.