Mimi Barakoa sivai. Natoka sana tu. Sema nakaa mbali na binadamu wenzangu. Unajua Barakoa inaweza kukufanya uambukizwe. Ile kila mara unaishika kuirekebisha hapo hapo waweza jiwekea virus.Kila mara na sanitize mikono yangu,au kunawa mikono.Hakuna aliyesalama dunia nzima sasa hivi.
Wewe huvai barakoa? Au umejifungia ndani?
Wamejitangaza kina Pierre liquid unashangaa huyo
Bwana'ko yupi huyo unaemuongelea?
Wake wenza?
Kama bado virus hajafika stage ya kuathiri mapafu unaweza.pigana nae kwa haraka kwa kuboost immunity yako na ukamshinda.Huyu ndip alikuwa afe gafla kisa tatizo la upumuaji[emoji26]
Ohooooo !!!
"Straight" unaongelea "bwana yule"? Majanga"Mimi ni straight. Kama unanihitaji sema. Nitaku-urine-netisha vizuri na wakati ume-fast.
Na samaki sharti aliwe pande zote mkuu,mpige kazi kisawasawa huyo.Mimi ni straight. Kama unanihitaji sema. Nitaku-urine-netisha vizuri na wakati ume-fast.
Oooh ila kweli,umechukua na kalikizo kabisa hutak mchezo kwenye lifeHapana. Unaweza kwenda pata maambukizi. Mimi mpaka sasa sina kabisa. Maana nashinda nyumbani.
Simzungumzii mtoto wa bwanako Mbowe, acha genye za ukubwaniHivi mtoto wa Mbowe alitangazwa na nani vile?
Sitaki mchezo kabisa. Afya kwanza. Nataka kuona wajukuu,vitukuu na watoto wa vitukuu wangu.Oooh ila kweli,umechukua na kalikizo kabisa hutak mchezo kwenye life
Simzungumzii mtoto wa bwanako Mbowe, acha genye za ukubwani
Halafu unajiita mwislamu safi? Faiza, kweli unawadharau sana wanawake, eti Dada Elli, being Dada Elli au Kaka Elli haibadilishi hoja yoyote. hadi nikutie mimba ndio utajua kuwa Elli ni Dada au ni Kidume cha mbegu, tubaki kwenye mjadala ushamishe mada wewe kigagula kinachojificha kwenye mwamvuli wa Dinimwenyekiti wenu wa maisha vipi familia zake wamepona?
Unaonesha una wivu sana mwaya. Dada Elli we wacha wivu.
Kumbe sinmakonda tu, hata na wewe inapambana na afya yako!Hapana. Unaweza kwenda pata maambukizi. Mimi mpaka sasa sina kabisa. Maana nashinda nyumbani.
Mimi sina virus bwana.Kumbe sinmakonda tu, hata na wewe inapambana na afya yako!
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo - Bi kidude