Wewe Elli hata hueleweki unaongea nini? Unaweza kuniita chochote upendacho si umehajulikana umeshindwa mada unataka kuharibu iliyobaki unabwabwaja na kuhororoja bila mpango. Maana juu huko kila mmoja kakupa za uso, zinakulewesha unatafuta pakutokea.Hahahaa nimekuaoat tapeli la kimataifa kwa kivuli cha dini! Si unajifanya unajua kubadilisha mada? Mimi ni zaidi yako, naona akili zimekurudia sasa unataka turudi kwenye mada eeeh? Usidhani watu wakinyamaza basi hawakuwezi, ghood kama umeona kuwa kuwa huwa unaharibu mada za watu kwa kuja na ujinga ujinga wako. Haya tuyaache haya nakuacha sasa. Pole ndio maisha yalivyo. Yameisha
Nimesema nataka kuviona hivyo vizazi vyangu vinne. Sijui kilometer kusoma hayo wewe wasema.Utakuwa ushazeeka sana mama,saiv penyewe kilometa zinazosoma sio haba
Umekula za uso na kila mtu juu huko mpaka unaanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango, mara "tapeli", mara uweke picha ina mask.Hahahaa nimekuaoat tapeli la kimataifa kwa kivuli cha dini! Si unajifanya unajua kubadilisha mada? Mimi ni zaidi yako, naona akili zimekurudia sasa unataka turudi kwenye mada eeeh? Usidhani watu wakinyamaza basi hawakuwezi, ghood kama umeona kuwa kuwa huwa unaharibu mada za watu kwa kuja na ujinga ujinga wako. Haya tuyaache haya nakuacha sasa. Pole ndio maisha yalivyo. Yameisha
Kuna siku alikuwa anaongea na waandishi wa habari
Nikona hakuvaa mask ingawa alikuwa nayo
Mungu ampe afya njema
Tujilinde kwa mda wote View attachment 1434781
Sent from my iPhone using Tapatalk
Inabidi ziwe sanitized kila muongeaji mmoja anapomaliza, lakini pia siyo kinga 100%.Hasa hizo mic. Kila mtu anatemea hapo mate anavyozungumza. Kuna wanzungumza kama mvua inanyesha vile.
Mpaka sasa hakuna 100% proof ya wapi utampata Corona na wapi humpati, ndiyo maana self hygiene unahimizwa sana.Nina hofu na hizi masiki wakuu.
Nadhani hata hvyo vipimo vinaweza kuwa na corona.
Unachanganya kuambukizwa corona, na kuugua covid-19 ni mambo mawili tofauti. Kwa maelezo haya, mama haumwi covid-19, ila anatembea akiwa ana maambukizi ya corona ambayo kutokana na wataalamu binaadamu anaweza kukaa nayo hadi siku 14 ndipo ama ataumwa, au hatoumwa.pole kwake
apate nafuu inshallah
hahahahaa...nimefanyaje mkuu? 😛
Hata mimi siipendi ila wapo baadhi ya watu kule wako makini pamoja na huyu. BTW huyu hayumo kwenye lile kundi.Miccm siipendi sana lkn Huyu mama amekua humble na muwazi sana. Namtakia afya njema apone haraka...
Kwanini uwakamate?Ukiwakamata watanzania 10 na kuwapima, most likely 4/10 watatest positive.
Hasa hizo mic. Kila mtu anatemea hapo mate anavyozungumza. Kuna wanzungumza kama mvua inanyesha vile.