RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

Hahahaa nimekuaoat tapeli la kimataifa kwa kivuli cha dini! Si unajifanya unajua kubadilisha mada? Mimi ni zaidi yako, naona akili zimekurudia sasa unataka turudi kwenye mada eeeh? Usidhani watu wakinyamaza basi hawakuwezi, ghood kama umeona kuwa kuwa huwa unaharibu mada za watu kwa kuja na ujinga ujinga wako. Haya tuyaache haya nakuacha sasa. Pole ndio maisha yalivyo. Yameisha
Wewe Elli hata hueleweki unaongea nini? Unaweza kuniita chochote upendacho si umehajulikana umeshindwa mada unataka kuharibu iliyobaki unabwabwaja na kuhororoja bila mpango. Maana juu huko kila mmoja kakupa za uso, zinakulewesha unatafuta pakutokea.
 
Hahahaa nimekuaoat tapeli la kimataifa kwa kivuli cha dini! Si unajifanya unajua kubadilisha mada? Mimi ni zaidi yako, naona akili zimekurudia sasa unataka turudi kwenye mada eeeh? Usidhani watu wakinyamaza basi hawakuwezi, ghood kama umeona kuwa kuwa huwa unaharibu mada za watu kwa kuja na ujinga ujinga wako. Haya tuyaache haya nakuacha sasa. Pole ndio maisha yalivyo. Yameisha
Umekula za uso na kila mtu juu huko mpaka unaanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango, mara "tapeli", mara uweke picha ina mask.

Huko kote ni kushindwa hoja, tunawafahamu nyinyi. Na tuna nyinyi mpaka uchaguzi uishe tuchukuwe tena nchi kiulaini kabisa. Mna nini sasa hivi zaidi ya kukazania corona corona,mkishindwa mnaanza mara tapeli mara tapeli la Kimataifa. Utatapatapa kila namna.
 
Ooh serikali itangaze... Sasa huyo mserikali kasema. Haumwi bt kapima ana covid 19,
Acheni upuuzi fanyeni kazi!
 
pole kwake
apate nafuu inshallah
Unachanganya kuambukizwa corona, na kuugua covid-19 ni mambo mawili tofauti. Kwa maelezo haya, mama haumwi covid-19, ila anatembea akiwa ana maambukizi ya corona ambayo kutokana na wataalamu binaadamu anaweza kukaa nayo hadi siku 14 ndipo ama ataumwa, au hatoumwa.
 
Ukiwakamata watanzania 10 na kuwapima, most likely 4/10 watatest positive.
 
Miccm siipendi sana lkn Huyu mama amekua humble na muwazi sana. Namtakia afya njema apone haraka...
Hata mimi siipendi ila wapo baadhi ya watu kule wako makini pamoja na huyu. BTW huyu hayumo kwenye lile kundi.
 
Hasa hizo mic. Kila mtu anatemea hapo mate anavyozungumza. Kuna wanzungumza kama mvua inanyesha vile.

Hilo ndio tatizo wasilolijua au wanaona wao hawawezi kupata
Yaani mimi hata vyakula vyote naviosha sana, tahadhari inatakiwa sana na wengi wanaoupata aidha wamesalimiana na wenye ugonjwa au wamesogeleana sana na mtu anaekohoa
Ikumbukwe virus wanakaa hewani mpaka nusu saa
Sasa ukivuta hiyo hewa UNAO
Tujichunge kwa Kweli na Mungu atusaidie

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom