Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Watatue na tatizo la TRA.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!
Kaka sisi wafugaji wa kuku wa mayai tunajua principal; kuku lazima ale kwa siku gram 125 ya chakula ili na wee upate yai moja!Inatakiwa ifikie stage kodi iwe haikusanyiki kabisa
Eeh maana wamekusanya kodi wakamaliza akiba wakarudi kukusanya mitaji wakamaliza sasa wamekuja na mtindo wa fine. Hapo ndipo ambako wengi walifungasha virago 😂😂😂Kaka sisi wafugaji wa kuku wa mayai tunajua principal; kuku lazima ale kwa siku gram 125 ya chakula ili na wee upate yai moja!
Sasa mlishe pumba tupu uone kama utapata hilo yai.
Sasa kuna watu hawampi kuku hata hiyo pumba afu eti wanategemea aendelee kutaga...thubutu!!
Tatizo ni Chadema ,wameiludisha nyuma sana Nchi yetu!Hajui tatizo ni nini au anazuga?
Tra hii hii mnao isifia kuvuka malengo ya makusanyo kila mwezi?!Ni TRA ndie kaua kariakoo
100% +✔️ hiki ndio kiini cha tatizo hongera sana mkuuSio kodi tu kariakoo hawa wafanya biashara walikuwa wanakuja wanabadili pesa zao iwe kwacha iwe dollar masaa 24 kariakoo wanafanya biashara kwa uhuru matokeo kuporwa na kufungwa sehemu na kujenga mazingira magumu ya biashara ni lazima waende Bank na change ya baadhi ya pesa za kwao hazikubaliki ina maana inabidi wabadili mara 2 hapo wanapoteza pesa na urasimu watu hawataki hayo. Kariakoo wasinge pagusa ila wangeweka taratibu slowly kutoa vitambulisho wakati wa kuchange ila wangeachwa wafanye biashara kwa urahisi. Mambo mengi tumeyaharibu wenyewe, wakitoka madukani tu wanasumbuliwa watu wanakimbia. Kariakoo ilitakiwa kuwa free zone.
Swali, aliyeharibu hapo ni nani(CCM au CHADEMA)?Na bado, hata hao wachache waliobaki nao wanaweza kuhama msipobadilika..
Tuishi kama mashetani.
TRA ipo chini ya CHADEMA?Tra hii hii mnao isifia kuvuka malengo ya makusanyo kila mwezi?!
Hahahaaaa...... Kwani TRA ziko ngapi?Tra hii hii mnao isifia kuvuka malengo ya makusanyo kila mwezi?!
😂😂😂 Na bado,mpaka akili iwakae sawaTatizo ni Chadema ,wameiludisha nyuma sana Nchi yetu!
TRA wanasimamia sheria ya kodi ambayo ina tungwa na CCM wenzako hao hao.Ni TRA ndie kaua kariakoo
Wanasifia huku wanaumiza watu kila sikuTra hii hii mnao isifia kuvuka malengo ya makusanyo kila mwezi?!
Baadae CHADEMA wakaja kuiua K/koo?Karuakoo ilikuwa ukiwa dola iliyochakaa kabisa ambayo hakuna benki au duka lolote la pesa za kigeni waweza kuikubali ilikuwa ukienda kariakoo maduka ya kawaida tu inapokekewa bila shida yoyote wanakubadilishia tena kwa rate nzuri kabisa
Unataka v8 ziwaishiye mafuta barabarani zizime sioInatakiwa ifikie stage kodi iwe haikusanyiki kabisa
Tusiwalaumu mkuu tutafute tiba kwa pamojaBaadae CHADEMA wakaja kuiua K/koo?
Kwa hiyo walipinga K/koo ikafa?Tatizo la Chadema ilikuwa kupinga tu kila kitu ndio maana tulikuwa hatutaki hata kuwasikiliza.Jitu gani ambalo kutwa ni kupinga tu