RC Kunenge: Kariakoo ilikuwa kama Dubai, tujitahidi kuirejesha tuwavutie Wacongo na Wamalawi

Wapinzani wameiharibu Kariakoo
 
Haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma? Aache Ujinga
 
Mnyama kenge huwa hasikii mpk damu itoke masikioni - hali la kupungua kwa wafanyabiashara haliwezi kumalizwa na RC

Linatakiwa kushughulikiwa kwa ngazi ya kitaifa kwa kuwa RC hawezi kuamuru watendaji wa Ikulu, Wizara na Sekta za kitaifa. Lkn kama ameliona hilo basi ashauri mamlaka za juu yake.
Huenda tumekwama kwenye sera za nchi
 
Unabishana na sufiani juma??? Alipo hata jinsia yake haijui potezea hawa viwavi jeshi
Sasa anacho lalamika RC ni kipi? Kwa hiyo we una uelewa kuliko RC mwenyewe? Kwamba RC anawahitaji hao wapenda shotcut ili kunusuru hali ya sasa? Kwamba RC anataka kukaribisha tena lose-win situation?
 
Taxforce Imekuwa ya ajabusana so kwa utawala wa CCM kariakoo inaelekea kufa kabisa
 
Chadema ndiyo waliosababisha soko life??
Ndiyo chama kikuu cha upinzanini, ilianza kulizungumzia hili swala tangu 2016 lakini hao CCM waliwaita ni wasaliti wasiopenda kodi ikusanyiwe, sasa CHADEMA wametulia wao CCM wameanza kuongea yaliyoongelewa 2016 na CHADEMA mfano Nape na Msukuma na leo Kunenge.
 
Na wanufaika wa hizo sera mbovu.
 
Baptiste mwanangu wa kambo Naona kwa mbaali umeanza kunena kwa Lugha.. Haaahaaahaa Tena wewe jiandae maana Nina uhakika utajiua Mwenyewe siku moja baada ya kugundua kuwa Uliyokuwa unayashabikia na kuunga mkono Ni ubatili mtupu umekula na kushiba upepo.. Pole mwana
Hahahaaaa....... Tumeingia choo cha kike bwashee!

Pumbavu mkubwa wewe
 
Kwahiyo RC muongo eeee..
 
Ule mpango wa kufanya biashara kkoo 24hours umeishia wapi au tarehe bado?
Hawa jamaa vichwa maji sana, yaani wakati wafanyabiashara wanalia biashara zinakufa wao wanaweka mkakati kufanya biashara 24hrs.

Biashara ya mihogo, nyanya chungu na 'vibamia' ndio ya kufanyika 24hrs?!
 
Kama hajui tatizo aende pale kariakoo akawaulize wenyewe asitafute kiki hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…