Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkwamo wa biashara siyo kodi,mitaji wala siyo ukosefu wa elimu ya ujasriamaliInatakiwa ifikie stage kodi iwe haikusanyiki kabisa
Hahahaaaa........![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbatizaji naona hivi karibuni kama somo unalielewa elewa hivi... for the fourth time nakubaliana na wewe.
pamoja na waziri mkuu kuingilia hajalipwa na tetesi zikaja alitafutiwa njia za kumalizwa kabisa akagutukia mtegoKuna mfanyabiashara mmoja niliona Kwa media kuzulumiwa na TRA sijui ashalipwa ile hasara yake
Nani ameiharibu ?Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!
Umesahau jiji la Dar es salaam lilikuwa chini ya meya Issaya Mwita wa Chadema!Nani ameiharibu ?
kwahiyo ?Umesahau jiji la Dar es salaam lilikuwa chini ya meya Issaya Mwita wa Chadema!
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!
Enzi za J.M Kikwete!Kilichoididimiza Dar ndicho kile kile kinachoumaliza uchumi wa Tanzania.R.C alitakiwa afahamu hilo na amshauri asiyeshaurika.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma.
Kunenge amewataka watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha Kariakoo inarejea kuwa Dubai ya Afrika mashariki kama ilivyokuwa enzi zile.
Chanzo: ITV
Maendeleo hayana vyama!
Huo ni mwandiko wa YEHODAYA?Imekuwaje?Hongera kuwa muwazi
Wana Lumumba mmepatwa na nini?Na Kunenge alikuwa huko huko TRA mkuu!
Chapa kazi CCM iirejeshe Dubai ya EA!kwahiyo ?
Nilishangaa walipomtumbuwa Waziri mzuri aliyekuwa anajua takwimu za viwanda vipya kila mwezi. Huyu angeendelea 2025 tungekuwa na viwanda 100,000.Baada ya miaka mitano ya mateso, hatimaye sasa tunaanza kuimba wimbo mmoja. Hivi wale jamaa waliokuwa wanatoa Takwimu za idadi ya makampuni na biashara zilizoanzishwa kwa kipindi fulani wameenda wapi???
Mtasema yoteeee!Watatue na tatizo la TRA.
Kunenge anaujua ukweli, na asizunguke mbuyu.
Mfanya biashara apipowekewa mazingira ya kulipa kodi kistaarabu hakuna litakalofanyika.
TRA ndio wameua Kariakoo tusitafute mchawi kwingine wakati mchawi tunamfahamu.
Usitegemee lolote toka kwa watu wanaowaza kinyumenyume. Mtanzania anaishi Malawi miaka 3 anakusanya mtaji mil.100 anaamua kurudi nyumbani, akifika mpakani anapewa kesi ya uhujumu Uchumi na fedha yote inataifishwa, sasa sijui kaujumu uchumi wa nchi gani?Kuna sehemu Dubai inaitwa Deira wengi waliofika wanapajuwa. Hii sehemu ndio utawakuta waafrica, wahindi na wengi tu ndio kama kariakoo yetu. Utakuta askari wako lakini hukuti wanamuuliza mtu kitu sio kwamba hawaoni wanawake wanaojiuza hapo wanaona kila kitu na ile nchi unajuwa sheria zake. Ila wanafunga macho muhimu usivunje sheria na wanalinda usalama ila waanacha movement zote free kabisa hawagusi mtu wanalinda mazingira ya biashara. Sasa jiulize kwanini wanafanya vile? wanajuwa hawa wanakuja kununua wanatoka sehemu tofauti bila hawa hakuna Deira ila ukikutwa unafanya ujinga huo sehemu zingine unakamatwa. Kariakoo ilitakiwa tuifanye kama Deira.
KRA - Kisutu Revenue Authority.Kuna ile ya Kisutu (KRA), kuna ile ya DPP, kuna ile ya Police, ipo ile ya halmashauri nk nk.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Wakandarasi wa finance and building!
Ndg Alvin nakubaliana na wewe kabisa. Machinga asilimia kubwa wanauwezo wa kulipa kodi na ndiyo wengi wametoa vitu madukani na kuahamishia kwenye umchinga. waliobaki madukani biashara wameshindwa fanya na kusababisha mzunguko mdogo ambao kwao umeleta pia changamoto za kulipa mikopo.Sasa wadau wengi naona wamewaangushia lawama TRA bila kuangalia chanzo hasa ni kipi. kama kodi toka enzi na enzi zilikuwepo na TRA ilikuwepo toke 2006 ikiendelea na jukumu lake la kukusanya mapato ya serikali. Nilichokiona kwa sasa TRA ni kuongeza umakini katika kusimamia sheria na ufatiliaji wa kodi. Zamani tulizoea ona mtu baa anazungusha ofa na hakuwa na wasiwasi wa kulipa sababu pesa alikuwa nayo hivo wamiliki wa mabaa walifaidika sana na wateja kama hawa.Sasa hivi utakuta watu wanakunywa maji hakuna tena zungusha unategemea mwenye baa atapata tena mapato au atafunga biashara maana kuna wahudumu wanadai,umeme maji nk. Sasa hapo napo utasema ni TRA? Ninarafiki yangu yupo kariakoo anasema anaweza kaa siku nzima hata salamu asipate sasa napo sijui ni TRA au? Mkuu wa Mkoa nampongeza kwa kauli yake maana kuna mengi yamechangia tozo,sijui ulinzi shirikishi,taka,Liseni n.k.Machinga waondolewe mbele ya biashara za wafanyabiashara wengine.Njia ziwe wazi kila mtu atumike inakostahili..
Hujawahi hata kufanya biashara ya kumbikumbi unajua kupokea tu kww kimya.Walio kimbia soko Ni wale waliopenda shortcut,wa Congo waaminifu bado wanawndelea kuja,wamalawi waaminifu bado wanawndelea kuja,utitili wa watu wa wacongo na wamalawi mwanzo haukuwa wa tija,walikuwa wengi Tena Sana lakini walikuwa wanakuja wanachota bidhaa bulebule ,wanaondoka,kwa Sasa ukija kariakoo unachukua mizigo halali,unaacha Kodi halali,yaani ni mwendo wa win win stuation.