RC Makalla achana na Makonda vinginevyo utakwenda na maji

Amos Makalla ni muungwana, amenza kufanya kazi za CCM kitambo.
Kamwe hataenda kulipa kisasi.
Watoto wa mjini hawana tatizo na watu aina ya Makonda
Ni kweli. Makala ni mtu na nusu.
 
Wewe bibi mbona uchambuzi wako umegonga ukuta? Makala ni mwenezi sasa
 
We chawa umejisikiaje baada ya makala kuchukua nafasi ya boss wako?
 
Wewe bibi mbona uchambuzi wako umegonga ukuta? Makala ni mwenezi sasa
Sijui anajisikiaje huko aliko,aisee kwenye siwsa uwe na akiba ya maneno
Unayemuona sisimizi leo,keshk atakua tembo😁😁😁😁 na tembo anakuwa sisimizi
 
Hivi wewe Suzy Elias huwa unajaribu kurudi nyuma na kusoma pumba zako unazoharisha?

Soma tena ujinga wako hapo juu
 
Watoto wa mjini wameshinda dhidi ya washamba toka Kanda pendwa.
Kwakweli bado watoto wa mjini ndio wameshika mpini !

Lakini kila chenye mwanzo na mwisho upo tu. !
Just a matter of time .
Dunia ni rangilangire !🙏🙏
 
Haya sasa....

Kimeumana!
 
Haya sasa....

Kimeumana!

Watoto wa mjini wamechukua chama chao...
 
Unataka kusema anchojua Dar ndiyo kipo Mwanza?
UVCCM mnashupaza shingo na hamna uelewa wa mambo madogo tu.
Haya, kumbuka alikuwa DAR kipindi cha Dikteta, na mambo mengi alifanya nje ya sheria of which ndicho anatakkata hata sasa kufanya.
Hatimaye... Kimeumana!
 
Makala ujifunze kitu hapa
 

Attachments

  • IMG-20240404-WA0001.jpg
    39.9 KB · Views: 1
Yule atolewe tu, kazi hawezi ila kinacho mpa kiburi ni madhabau ya Msoga ila ni mjinga anashindwa kusoma mchezo!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kaondolewa kama ulivyotaka. Kazi kwa mtoa maagizo sasa....

Usifanye mchezo na wenye chama chao... Watoto wa Mujini...
 
Tonge La Mwisho Ndiyo La Kukombea Mboga
Sasa Makala Anaweza Kupoteza Tonge Lake Hata Kama Anayeagiza Ni Muhuni Pokea/Tekeleza Chap Chap
Matokeo yake, meza imepinduliwa....

Karma is a bitch...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…