RC Makalla: Kuanzia usiku wa leo hakuna Panya Road atasalimika, operesheni inayoanza si salama kwao

Kumbe wakawafate Polisi tena? Ili wawatoe warudi kuiba tena?
Inatakiwa wakawafate vyumba vya maiti, the only permanent solution.
Namkubali sana Durtete
 
Kule Kenya wakati Kibaki (R.I.P.) anaingia Madarakani, alikuta tatizo kubwa la chokoraa , watoto wa mtaani.

wakifanya uhalifu kwenye mitaa ya Nairobi na Viunga vyake, ilikuwa ni tatizo kweli siyo mchezo.
Alikaa na taasisi mbali mbali kuona namna ya kummaliza hilo tatizo,

Vilianzishwa vituo mbali mbali wakakusanywa ,wakapewa elimu ikawaingia ,wengi walikuwa na urahibu wa kuvuta (Gam) yaani chupa ya plastic ndogo inawekwa gundi patex inachanganywa na petrol,walikuwa ni hatari sana ukikutana nao kwenye anga zao.
Baada ya kuwakusanya walipelekwa kwenye vituo vya ufundi vilivyokuwa vimeanzishwa kila mmoja kwa namna alivyopenda awe kama ni fundi Magari, Selemara,Uchomeleaji nk.
Hii kitu ilisaidia sana kupunguza uhalifu kwenye jamii na wengi walipungua mtaani.

Naona na hapa kwetu inahitajika hekima siyo nguvu tu ili kummaliza hili tatizo ,huenda hawa wanafanya hivi sababu ya hali zao kimaisha .

Ndiyo wakamateni wawekwe sehemu waulizwe kwa nini wanafanya uhalifu wa namna hii vijana bado wadogo wanahitaji msaada kwa kweli.

Wasaidiwe zipo taasisi zinazoshughulikia haya mambo , wapelekwe vyuo vya ufundi wapate ujuzi wao wa kuwasaidia ili kuachana na uhalifu wa namna hii.

Lakini suala la kuwaua ,utaua na wengine wasio na hatia, hapa hekima kubwa itumike ni watoto wetu hawa , ni wadogo zetu hawa, ni wajukuu zetu hawa, tunaishi nao mtaani tunawafahamu tuwashauri.

Huenda ni urahibu wa Madawa ya kulevya unapelekea yote haya .
 
Kn sehem moja kivule vibaka waliyavaga walikamatwa walilazwa kwenye reli walichinjwa

Ova

Ukiangalia vibaka ni wachache sana kuliko Raia. Asilimia 100/1 ni uoga wa Raia/ Rais kujipanga.

Halafu wanalipa kwente kila kitu serikalj ihakikishe usalama wao. Serikali inashindwa. Kodi, tozo ni za nini?
 
Wasipofanya mnaongea, wakifanya mnaongea....
Komeni tembea usiku bila vitambulisho
 

Wewe hao ni majambazi kama ni ndugu zako wambie waache mara moja lasivyo wanakitafuta kifo!
 
Mkuu upo sahihi kabisa lakini hawa watoto wetu kuna kitu kimoja wanafeli kujichukulia hatua ya kuumiza watu hapo ndio wanapokosea wanajerui watu vibaya mno hapo ndipo serikali uchukizwa na matendo yao sasa kupora si mpka umjerui mtu
 
Muhimu walazwe chali. Wakija kukupora pesa zako hawana huruma kwenye genge lao. Wapo tayari kukuua. Kwa 50,000 yako. Watu kama hawa unaongea nao nini, lugha gani, ueleweke?
 
Kwani sheria ya kupeleleza kwanza kabla ya kukamata imefutwa au umesimamishwa kwa muda?
 
Ngoja wakugundue watakutembelea mtaani kwako soon.....huwa wanatumia nusu saa tu ..polisi wanafika baada ya lisaa limoja
Uzuri na silaha waje tu tutaigeuza mtaa vita vya ukraine na Russia tuone mapanga yako na shaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…