Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
isije ikawa ni TAMKO TU UTEKELEZAJI SIFURI OHOOO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kn sehem moja kivule vibaka waliyavaga walikamatwa walilazwa kwenye reli walichinjwaHaiwezekani mtu, baba, mama, kijana, mwanamke ahangaike siku nzima, mtu mwingine achukue pesa zake zote kiurahisi.
Hivi unajua kazi ya Polisi na JWTZ?HAKUNA kitu hapo.solution NI kumwaga vijana wa JKT na JWTZ mitaani wazurure zurure TU waache kukaa makambini.
Kn sehem moja kivule vibaka waliyavaga walikamatwa walilazwa kwenye reli walichinjwa
Ova
Wasipofanya mnaongea, wakifanya mnaongea....Hii kauli inatia shaka sn..
Katika nchi za kiafrika,ukisikia kiongozi ameongea kauli km hii, kinachofuata hapo ni mateso Kwa wanaohusika na wasiohusika..nguvu unayotumika inakuwa nyingi sn alafu akili kisoda
Wengi waneuawa Kwa staili hii Kwa kisingizio cha neno "tunafanya operation maalum"
Hapa mzazi km Una mtoto wako wa kiume kuanzia 8-21 years,wiki hii mkataze mitoko ya jioni hasa mambo ya mipira ya 'chandimu'..polisi wanasomba wote wanakuwa ktk vikundi vikundi,mtajieleza mkifika kituoni
Naongea Kwa experience kubwa Kwa sababu nimekulia uswahili Temeke,tandika,Sheraton,maputo,relini,buza na viunga vyake..Enzi za Yule Askari mbabe wa kuitwa Tyson,jamaa anawakamata,kisha anawatembeza Kwa miguu na Pingu hawafungi alafu anauliza ambae anajiona ana ubavu wa kupigana na Mimi ajitokeze,akinishinda namruhusu asepe..sijui Yuko wapi Yule jamaa siku hizi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hawa ni watoto wasio na majukumuHivi Wale Machinga Waliovunjiwa Vibanda Vyao Walienda Wapi?
Au ndo hawa Wametafuta alternatives...!
Hii kauli inatia shaka sn..
Katika nchi za kiafrika,ukisikia kiongozi ameongea kauli km hii, kinachofuata hapo ni mateso Kwa wanaohusika na wasiohusika..nguvu unayotumika inakuwa nyingi sn alafu akili kisoda
Wengi waneuawa Kwa staili hii Kwa kisingizio cha neno "tunafanya operation maalum"
Hapa mzazi km Una mtoto wako wa kiume kuanzia 8-21 years,wiki hii mkataze mitoko ya jioni hasa mambo ya mipira ya 'chandimu'..polisi wanasomba wote wanakuwa ktk vikundi vikundi,mtajieleza mkifika kituoni
Naongea Kwa experience kubwa Kwa sababu nimekulia uswahili Temeke,tandika,Sheraton,maputo,relini,buza na viunga vyake..Enzi za Yule Askari mbabe wa kuitwa Tyson,jamaa anawakamata,kisha anawatembeza Kwa miguu na Pingu hawafungi alafu anauliza ambae anajiona ana ubavu wa kupigana na Mimi ajitokeze,akinishinda namruhusu asepe..sijui Yuko wapi Yule jamaa siku hizi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hivi unajua kazi ya Polisi na JWTZ?
Wanataka wazazi wakienda na wao wawekwe ndaniKumbe wakawafate Polisi tena? Ili wawatoe warudi kuiba tena?
Inatakiwa wakawafate vyumba vya maiti, the only permanent solution.
Namkubali sana Durtete
Mkuu upo sahihi kabisa lakini hawa watoto wetu kuna kitu kimoja wanafeli kujichukulia hatua ya kuumiza watu hapo ndio wanapokosea wanajerui watu vibaya mno hapo ndipo serikali uchukizwa na matendo yao sasa kupora si mpka umjerui mtuKule Kenya wakati Kibaki (R.I.P.) anaingia Madarakani, alikuta tatizo kubwa la chokoraa , watoto wa mtaani.
wakifanya uhalifu kwenye mitaa ya Nairobi na Viunga vyake, ilikuwa ni tatizo kweli siyo mchezo.
Alikaa na taasisi mbali mbali kuona namna ya kummaliza hilo tatizo,
Vilianzishwa vituo mbali mbali wakakusanywa ,wakapewa elimu ikawaingia ,wengi walikuwa na urahibu wa kuvuta (Gam) yaani chupa ya plastic ndogo inawekwa gundi patex inachanganywa na petrol,walikuwa ni hatari sana ukikutana nao kwenye anga zao.
Baada ya kuwakusanya walipelekwa kwenye vituo vya ufundi vilivyokuwa vimeanzishwa kila mmoja kwa namna alivyopenda awe kama ni fundi Magari, Selemara,Uchomeleaji nk.
Hii kitu ilisaidia sana kupunguza uhalifu kwenye jamii na wengi walipungua mtaani.
Naona na hapa kwetu inahitajika hekima siyo nguvu tu ili kummaliza hili tatizo ,huenda hawa wanafanya hivi sababu ya hali zao kimaisha .
Ndiyo wakamateni wawekwe sehemu waulizwe kwa nini wanafanya uhalifu wa namna hii vijana bado wadogo wanahitaji msaada kwa kweli.
Wasaidiwe zipo taasisi zinazoshughulikia haya mambo , wapelekwe vyuo vya ufundi wapate ujuzi wao wa kuwasaidia ili kuachana na uhalifu wa namna hii.
Lakini suala la kuwaua ,utaua na wengine wasio na hatia, hapa hekima kubwa itumike ni watoto wetu hawa , ni wadogo zetu hawa, ni wajukuu zetu hawa, tunaishi nao mtaani tunawafahamu tuwashauri.
Huenda ni urahibu wa Madawa ya kulevya unapelekea yote haya .
Muhimu walazwe chali. Wakija kukupora pesa zako hawana huruma kwenye genge lao. Wapo tayari kukuua. Kwa 50,000 yako. Watu kama hawa unaongea nao nini, lugha gani, ueleweke?Nimependa zaidi aliposema hao vijana wanatumia mapanga kwa hiyo tutatumia silaha zaidi ya panga kuwapora mapanga!
Dawa ya moto ni moto hawa ni majambazi ukiwarembulua macho hawawezi kukuelewa....dawa ya moto ni moto majambazi ni kupigwa risasi tuu halafu tuwasubiri watu wa haki za binadamu.......
Hapa ni kuwapiga chuma tuu lazima walazwe chini ndio wataacha!
Ndicho kitakachofuata ndgHawa watoto sio wa kuwapeleka polisi...solution nzuri ni kumalizana kabisa ili tuheshimiane.....
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
isije ikawa ni TAMKO TU UTEKELEZAJI SIFURI OHOOO
Uzuri na silaha waje tu tutaigeuza mtaa vita vya ukraine na Russia tuone mapanga yako na shaba.Ngoja wakugundue watakutembelea mtaani kwako soon.....huwa wanatumia nusu saa tu ..polisi wanafika baada ya lisaa limoja