Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wewe unafikiri watauzia wapi kama sio katika katikati ya mji? Wewe upo pale Azam unafanya kazi unafikiri maisha ni rahisi tuu kama ulivyo andika? waende wapi? Makalla akifanikiwa kwenye hili ntakuletea zawadi pala AzamSafi sana! jamaa wamegeuka kero kubwa katikati ya mji hata Mwenge pia! Nimeona hii kwa Le Mutuz!