Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema mto Ruvu umacha kutiririsha maji kutokana na wananchi wa Mvuha, Dutumi na Kisaki Mkoani Morogoro kiwa na ng'ombe wengi.
Makalla na timu yake waliufuatilia mto Ruvu ili kujua sababu ya kutopitisha maji ambapo wamegundua shughuli za kibanadamu zinazofanywa katika vyanzo vya mto huo mkoani Morogoro, vimeathiri suala utiririshaji maji.
Ametoa wito kwa wakazi wa maeneo hayo kuhama maeneo yaliyokatazwa. Amesema suala la ukosefu wa maji ni mabadiliko ya tabia nchi ambayo pia huchangiwa na shughuli za binadamu.