RC Makalla: Ng'ombe wamesababisha uhaba wa maji

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema mto Ruvu umacha kutiririsha maji kutokana na wananchi wa Mvuha, Dutumi na Kisaki Mkoani Morogoro kiwa na ng'ombe wengi.

Makalla na timu yake waliufuatilia mto Ruvu ili kujua sababu ya kutopitisha maji ambapo wamegundua shughuli za kibanadamu zinazofanywa katika vyanzo vya mto huo mkoani Morogoro, vimeathiri suala utiririshaji maji.

Ametoa wito kwa wakazi wa maeneo hayo kuhama maeneo yaliyokatazwa. Amesema suala la ukosefu wa maji ni mabadiliko ya tabia nchi ambayo pia huchangiwa na shughuli za binadamu.
 
View attachment 2407677
Huyu hana akili timamu walah🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom