RC Makalla: Rais Samia atoa Tsh bilioni 28 kukarabati soko la Kariakoo

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
RC MAKALLA: UKARABATI NA UJENZI SOKO JIPYA KARIAKOO KUANZA WIKI IJAYO.

- Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha Biloni 28 na kuwajali Wafanyabiashara

- Asema Wahanga wa soko la Kariakoo Na soko Dogo watapewa kipaumbele kurejea soko litakapokamilika.

- Asema Mkandarasi wa kukarabati Na kujenga soko amepatikana.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amesema Ukarabati wa Soko la Kariakoo lililoungua na Ujenzi wa Soko jipya la Gorofa 6 utaanza Baada ya Tar 09 Disemba baada ya Mkandarasi kupatikana.

RC Makalla amesema hayo wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya Shilingi bilioni 2 kwa vikundi vya ujasiriamali ambapo amesema tayari Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi Cha Shilingi bilioni 28 kwaajili ya Ujenzi huo.

Aidha RC Makalla amewaondoa hofu Wafanyabiashara wa Soko Hilo Wenye wasiwasi kuwa baada ya ujezi kukamilika watapangishwa watu wengine ambapo amesema wazawa watapewa kipaombele.

Magu alikua akisema natoa bil kadhaa mnashangilia hatari,Tulieni legacy iendelezwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hasan ameidhinisha shilingi bilioni 28 kwa ajili ya ujenzi wa soko la Kariakoo lililoteketea kwa moto mwezi wa saba mwaka huu unaotarajiwa kuanza Disemba kumi mwaka huu.
 
Naam,legacy ya mwendazake inaendelezwa Kama alivyotaka mwenyewe.
 
Sasa hivi hakuna haja ya kuwa na bunge, kila kitu Rais mwenyewe anaweza kumaliza.
 
RC MAKALLA: UKARABATI NA UJENZI SOKO JIPYA KARIAKOO KUANZA WIKI IJAYO.

- Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha Biloni 28 na kuwajali Wafanyabiashara

- Asema Wahanga wa soko la Kariakoo Na soko Dogo watapewa kipaumbele kurejea soko litakapokamilika.

- Asema Mkandarasi wa kukarabati Na kujenga soko amepatikana.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amesema Ukarabati wa Soko la Kariakoo lililoungua na Ujenzi wa Soko jipya la Gorofa 6 utaanza Baada ya Tar 09 Disemba baada ya Mkandarasi kupatikana.

RC Makalla amesema hayo wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya Shilingi bilioni 2 kwa vikundi vya ujasiriamali ambapo amesema tayari Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi Cha Shilingi bilioni 28 kwaajili ya Ujenzi huo.

Aidha RC Makalla amewaondoa hofu Wafanyabiashara wa Soko Hilo Wenye wasiwasi kuwa baada ya ujezi kukamilika watapangishwa watu wengine ambapo amesema wazawa watapewa kipaombele.

View attachment 2030849
Serikali imetoa. over. ni hela zetu hizo sio za mtu binafsi. ningekuwa mimi ni Rais ningewapiga mkwara hawa wanasiasa waache kunisifia, kwasababu Rais ni msimamizi tu wa rasilimali zetu, sio mmiliki.
 
RC MAKALLA: UKARABATI NA UJENZI SOKO JIPYA KARIAKOO KUANZA WIKI IJAYO.

- Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha Biloni 28 na kuwajali Wafanyabiashara

- Asema Wahanga wa soko la Kariakoo Na soko Dogo watapewa kipaumbele kurejea soko litakapokamilika.

- Asema Mkandarasi wa kukarabati Na kujenga soko amepatikana.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amesema Ukarabati wa Soko la Kariakoo lililoungua na Ujenzi wa Soko jipya la Gorofa 6 utaanza Baada ya Tar 09 Disemba baada ya Mkandarasi kupatikana.

RC Makalla amesema hayo wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya Shilingi bilioni 2 kwa vikundi vya ujasiriamali ambapo amesema tayari Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi Cha Shilingi bilioni 28 kwaajili ya Ujenzi huo.

Aidha RC Makalla amewaondoa hofu Wafanyabiashara wa Soko Hilo Wenye wasiwasi kuwa baada ya ujezi kukamilika watapangishwa watu wengine ambapo amesema wazawa watapewa kipaombele.

View attachment 2030849
Leo nimemkubali Makalla yuko vizuri sana
 
Makala anafanya kazi nzuri sana,
 
Makala anaupiga mwingi sana aise, Endelea hivyohivyo mkuu
 
Kauli hii

"Raisi katoa ...." Haina afya kwa nchi
 
Back
Top Bottom