RC Makalla: Rais Samia atoa Tsh bilioni 28 kukarabati soko la Kariakoo

 
Bilioni 2 amewapa wanaccm wafanyabiashara wadogo! Atapita bila kupingwa.
 
Wadau walipendekeza soko lihamie nje ya jiji ili kariakoo ipumue, papatikane hata sehemu ya kupata upepo kidogo - papandwe miti na bustani murua.
 
Wadau walipendekeza soko lihamie nje ya jiji ili kariakoo ipumue, papatikane hata sehemu ya kupata upepo kidogo - papandwe miti na bustani murua.
Mnataka sehemu ya kujisaidia hovyo mmechoka vyoo vya kulipia.
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
7. Chawa juu
Taka taka za Lumumba ni hovyo sana
 
 
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
 
expand...
#nakupenda Tanzania

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
Sukuma GANG mkuje huku. .. mnaitwa mtetee legacy inafutwa na Samia 😄
Mama anatoa mihela ya mumewe makunduchi analeta bara. Pumbavu watoto wa
Teuzi.
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Kila mahali hela inatolewa na Rais, pesa hii ilipitishwa kwenye bajeti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…