Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
safi sana raisi wetu wa 2030Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ng’ombe takribani 200 watatolewa kwa ajili ya kuchoma nyama, tukio linalolenga kuimarisha uhusiano kati ya wafanyabiashara wa mkoa huo na viongozi wanaoshiriki kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma.
“Ng’ombe kama 200 hivi watachinjwa, ni kuchoma nyama tu hakuna ugali wala wali, lakini tumewaita wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Arusha” amesema Makonda
Ametangaza kufanyika kwa sherehe ndogo Agosti 29, 2024 kwa lengo la kuwakutanisha wafanyabiashara wa Arusha na Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma.
mtoto pendwaKapata wapi Hela?
Kwani huyu ndio yule Abdul?mtoto pendwa
Swali la kitoto kabisa.Kapata wapi Hela?
hapana uyu kakake wa hiyali wa abdul,Kwani huyu ndio yule Abdul?
Kutoka kwa mh.Mbowe.....Kapata wapi Hela?
Mtoto ipi mana mtoto zikonyingimtoto pendwa
ni ile asilimia tano ya ruzuku inayobaki ndugu baada ya mgawanyoKapata wapi Hela?
Yaani unamuuliza mwanaume kapata wapi hela akati anafanya kaziKapata wapi Hela?
maswali yaliyo jaa fikra za kimaskini sana haya dah 🐒Kapata wapi Hela?
tutakutana nae kwenye chomachoma nduguHivi lema yupo wapi siku hizi?