RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

Hizo sio chini ya milion 300 zinazikwa hapo,watoto wako chini wanakalia mawe
Nimepiga hesabu ya haraka haraka ng'ombe 200@850,000 =170,000,000

Yaani 170M

Labda kama hizo gharama wamechangia hao wafanya biashara, ila yeye na Ofisi yake ya Mkoa hawana hicho kiasi.
Unapiga hesabu ela zako?
Nyie nyumbu kila cku mnataka ela zitumike wapi jmn
 
Serikali sasa kama kule ilivyoenzi mambo ya asili ya Kizimkazi sasa inafeukia na kutambua kiaina Tamaduni, Kafara na siasa za kanda ya Kaskazini
 
Baada ya hapo lazima apande cheo!

Nyama ni sadaka nzuri sana hata mababu kina Ibrahimu na Yakobo walichinja wanyama kama sadaka!
 
Hela za kufanya ujinga zipo na mnazo zinatoka chap chap. Kutulipa wazabuni na kuwalipa wakandalasi hapo ni kazi sanaa.

Si ajabu ukakuta Mkurugezi hajalipa mafundi wanaojenga madarasa.😂😂
Bado huko ni kuwaza kwa kutawaliwa na fikra za kimasikini tu,

I think as we are under the capable leadership of Dr.Samia Suluhu Hassan as commander in chief of defense forces of Tanzania,

hiyo mindset ya kinyonge itakwisha kabisa na tusonge mbele tukifurahia uchumi Imara pamoja, right gentleman?🐒
 
Wengine pamoja na kwamba tunashughulika na Kazi ya Kilimo, lakini tunajua jua kidogo kuhusu bajeti ya baadhi ya Ofisi za Umma.

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa haina bajeti ya kutumia kwenye shughuli kama hizo unless iwe imewezeshwa na wadau.
wacha nikupe siri kidogo mzee mwenzangu ARUSHA sio ile ulikua unaijua chukua hiyo

jiji limefunguka haswaa chini ya uongozi wa RC
 
Unapiga hesabu ela zako?
Nyie nyumbu kila cku mnataka ela zitumike wapi jmn
Hivi kumbe kufahamu namna ya Fedha za Serikali zinavyotumika na yenyewe ni hadi uwe Nyumbu?

Au hizo Kodi tunazolipishwa Kila Siku huwa zinabagua Chama?
 
kuna kipi cha kusherehekea?
au sababu anazo mwenyewe sirini?
kukutanisha hao watu ni mpaka kuchinja ng'ombe?
 
Back
Top Bottom