RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

Hapa nakubaliana na wewe asilimia 100.

Kwamba hizo gharama zimefadhiriwa na Hao hao Wafanyabiashara.

Jambo la kuzingatia ni suala la Ushawishi pamoja na mahusiano

Maana mikoa ipo mingi lakini sio Wakuu wote wa Mikoa wanafanya alichofanya Paul Makonda.
Kudos kamarada [emoji7]

Hapo umenena....

Makonda is a real son of Tanzania [emoji7]
 
M170 ofisi ya mkoa haina!?
Ofisi ya Mkoa haina hiyo hela.

Kwani hujui Zinazokusanya Kodi ni Halmashauri pekee? Mkoa husubiri fedha za Uendeshaji wa ofisi tu (OC )kutoka Serikali KUU tu

Hivyo hawana huo ujanja wa kutumia milioni 170 kuzitumbua kwenye sherehe pekee wakati fedha zao za OC nadhani Kwa Mwaka hazizidi 200M
 
Back
Top Bottom