Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

Ila Mkuu Mifwa nisaidie kidogo ila usikasirike.
Hii "SAUTI KUBWA" ni forum gani? Gazeti au?

Nataka kushare hii taarifa ila huko wataniuliza kuhusu "SAUTI KUBWA"
 
Hata kuandika huwezi lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...jamani mimi napenda tu kuwausia kwamba,ukipata nafasi itumie,kamwe usiichezee nafasi,bahati huwa haiji mara mbili ooh
 
Swala hapa liwe kama alifuata taratibu katika kupata hiyo ardhi;

Sheria inaruhusu mtanzania yeyote kumiliki ardhi.
Uko sawa kabisa, na pili kama hiyo hela aliyonunulia ni hela ya kipato halali!
 
Mmmmmh nchi yangu Tanzania wenye madaraka wanakukula taratibu hata hawawazi kuna vizazi vijavyo, kama hawatakufa,kama wanajenga chuki kubwa baina yao na wananchi wanaoishi maisha magumu kutokana na vitendo vyao? eeeh Mungu tunusuru ma mabaya yanayoweza kutokea, ile amani izidi kutamalaki ndani ya nchi yangu pendwa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…