Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

hivu thamani yake ni mara nyingi sana ya yule waziri ambaye kaitwa na Bashiru kuhojiwa kuhusu kumiliki shamba ekari 1000
 
Mimi maswala ya Mkuu huyu wa Mkoa wa Dar nakaa nayo mbali ee!! Mungu nisaidiee!!
 
Vipi akitumbuliwa hawezi mwaga mboga nae,maana ule ni utatu mtakatifu unaotegemeana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nape alizimwaga? Mtu hana vyeti na anajua akitoka tu akajaribu kesho yake atakuwa Kisutu then Segerea.
Na unachotakiwa kujua Makonda hana rafiki ila waliokuwa wanaonekana marafiki ni kwa maslahi yao tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi maswala ya Mkuu huyu wa Mkoa wa Dar nakaa nayo mbali ee!! Mungu nisaidiee!!
 
Aisee hii mngeichelewesha kidogo mtasababisha akimbilie kulia mimbarini
IMG-20180830-WA0033.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karma has never missed the adress.

This is what we call back fire in politics..!
 
Back
Top Bottom