RC Makonda: Anayemjua mwizi aje ofisini kwangu kusema, nitampa laki moja

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Ili kuendelea kupinga vitendo vya uvunjifu wa amani mkoani Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amewaahidi wananchi wa mkoa huo hususani Bodaboda kuwa yeyote anayemjua mwizi na mwenye viashiria vya wizi basi akifika katika ofisi yake (yaani ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha) atapatiwa Tsh. 100,000/- (laki moja tu)

Makonda ametoa ahadi hiyo leo, Jumapili Julai 14.2024 wakati wa hafla ya kufunga mashindano ya 'Samia Motocross Championship'

Ili kuendelea kupinga vitendo vya uvunjifu wa amani mkoani Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amewaahidi wananchi wa mkoa huo hususani Bodaboda kuwa yeyote anayemjua mwizi na mwenye viashiria vya wizi basi akifika katika ofisi yake (yaani ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha) atapatiwa Tsh. 1,000,00/- (laki moja tu)

Makonda ametoa ahadi hiyo leo, Jumapili Julai 14.2024 wakati wa hafla ya kufunga mashindano ya 'Samia Motocross Championship'

View attachment 3042527
Makonda huwa anatumia vilevi?
 
Hahahah, kuna sheria inaitwa The Whistleblower and Witness Protection Act, 2015. kwa tafsiri rahisi ni Sheria ya Wafichuzi na Ulinzi wa Mashahidi. Pamoja na Kanuni zake za 2023

Nauliza tu hivi ndugu RC ameshauriwa kweli au kuambiwa juu ya uwepo wa hii sheria na kanuni zake na matakwa yake?

Haya bana yetu macho.
 
Hahahah, kuna sheria inaitwa The Whistleblower and Witness Protection Act, 2015. kwa tafsiri rahisi ni Sheria ya Wafichuzi na Ulinzi wa Mashahidi.

Nauliza tu hivi ndugu RC ameshauriwa kweli au kuambiwa juu ya uwepo wa hii sheria na matakwa yake?

Haya bana yetu macho.
Sheria?. Hizi Sheria sindo ambazo Mtu anakua, Kisha anakua na Wakili Mzuri , Wakili anatumia Mapungufu ya Sheria zenyewe na hatimaye Muuaji anakua Huru?.

By the way Kwa Wanasheria gan??. Hawa wabungeni ??

Nchi hiii Ina wasomi wa KISHENZI wengi sana, Wazee wa mavyeti na Makaratasi but I tell you, Wana Uwezo ambazo ni 0 katika kuhakikisha Wana put into effect kile walichokisomea.

Makonda Yuko SAHIHI
 
Punguza ujinga kidogo Mkuu.

Wewe unafikiri mtu yoyote anaweza tu kutoka na kujiamulia maamuzi yake kwenye hii nchi?. Ni lazima sheria zifuatwe na zikiwa hazijafuatwa ielezwe wazi.

Unafahamu kuwa anayeweza kutoa zawadi kwa mfichuzi (whistleblower) ni Mamlaka yenye uwezo wa kufanya upelelezi?

Na Tanzania swala la kufanya upelelezi kwenye makosa ya Jinai halipo kwa RC bali ni Polisi, Takukuru, FIU, TCRA, n.k zote zina mifumo ya kushughulikia makosa ya kijinai.

Sasa swali ni RC anatoa zawadi kwa hao wafichuzi chini ya sheria gani?, lazima hili liulizwe ili ifahamike ni pesa yake binafsi au pesa ya umma inayopaswa kufuata mtiririko sahihi.
 
RC ni 'mwenyekiti' wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa.
 
Kwani hufahamu kuwa RC ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa,?

Hufahamu kuwa wafichuzi wanaenda Ofisi ya RC ambayo ina nyenzo zote ulizo zitaja hapo??
 
Wewe ni mjinga sana.

RC ni Mwenyekiti wa kamati ya Usalama Mkoa, Ndani yake Kuna RPC, RSO n.k

RC Makonda anachofanya ni kuwamotisha Raia wema ambao Huwa Wana taarifa lkn hawajui wazipeleke wapi, Sasa wajue ni wapi zinaendaz na zitasaidia nini , na wao wanafaidika na nn kwa mustakibali wa nn.

Nilikuaga naamini JF Ina watu wenye akili kumbe baadhi yenu ni vichwa maji namna hii.

Makonda kawekesha Kambi ya Madaktari Mkoa mzima ,aliipata wapi Pesa?? Ana mawakili wa TLS wanaosaidia Raia, anapata wapi Pesa?

Wewe Hujui Katika Ma RC Bora na wabunifu hapa Nchini, Makonda ni Juu ya wote???

Kagawa Pikipiki Polisi, kapata wapi Pesa??.

Kuna Dhambi kutumia Pesa iwe yako au ya Raia Kwa jambo ambalo ni faida ya hao hao Raia???.

Hiyo MAMLAKA ndio kumbe inatakiwa itoke Hadharani iwaambie Raia, njooooni mtupe taarifa ,tutatoa Zawadi?.
 
Ndio ni mwenyekiti wa kamati, ila swali ni nani anayepeleleza makosa ya jinai?

Tuna vyombo vya ulinzi na mamlaka za kusimamia sheria zinavyofanya hiyo kazi sio kamati.

Hiyo ni sheria sio utashi binafsi wa mtu
 
Kwani hufahamu kuwa RC ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa,?

Hufahamu kuwa wafichuzi wanaenda Ofisi ya RC ambayo ina nyenzo zote ulizo zitaja hapo??
Watanzania mbona hamfahamu taratibu na sheria zenu wenyewe?.

Vyombo vinavyopeleleza makosa ya jinai unakijua?. Sasa hivyo vyombo ndio vyenye huo uwezo kisheria.

Kasome hiyo sheria niliyoitaja hapo juu.
 
Ndio ni mwenyekiti wa kamati, ila swali ni nani anayepeleleza makosa ya jinai?

Tuna vyombo vya ulinzi na mamlaka za kusimamia sheria zinavyofanya hiyo kazi sio kamati.

Hiyo ni sheria sio utashi binafsi wa mtu
Chini ya Mkoa , shughuli za RSO, RPC , zinaripotiwa Kwa nani?.
 
Watanzania mbona hamfahamu taratibu na sheria zenu wenyewe?.

Vyombo vinavyopeleleza makosa ya jinai unakijua?. Sasa hivyo vyombo ndio vyenye huo uwezo kisheria.

Kasome hiyo sheria niliyoitaja hapo juu.
Unaonekana wewe ndio hufahamu!
 
Back
Top Bottom