Wewe ni mjinga sana.
RC ni Mwenyekiti wa kamati ya Usalama Mkoa, Ndani yake Kuna RPC, RSO n.k
RC Makonda anachofanya ni kuwamotisha Raia wema ambao Huwa Wana taarifa lkn hawajui wazipeleke wapi, Sasa wajue ni wapi zinaendaz na zitasaidia nini , na wao wanafaidika na nn kwa mustakibali wa nn.
Nilikuaga naamini JF Ina watu wenye akili kumbe baadhi yenu ni vichwa maji namna hii.
Makonda kawekesha Kambi ya Madaktari Mkoa mzima ,aliipata wapi Pesa?? Ana mawakili wa TLS wanaosaidia Raia, anapata wapi Pesa?
Wewe Hujui Katika Ma RC Bora na wabunifu hapa Nchini, Makonda ni Juu ya wote???
Kagawa Pikipiki Polisi, kapata wapi Pesa??.
Kuna Dhambi kutumia Pesa iwe yako au ya Raia Kwa jambo ambalo ni faida ya hao hao Raia???.
Hiyo MAMLAKA ndio kumbe inatakiwa itoke Hadharani iwaambie Raia, njooooni mtupe taarifa ,tutatoa Zawadi?.