Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Makonda kasema, atapeleleza, au Kawataka Wananchi wamletee Taarifa Mkoani ambapo kutakuapo tayari wahusika wanaoshighulikia ?.Watanzania mbona hamfahamu taratibu na sheria zenu wenyewe?.
Vyombo vinavyopeleleza makosa ya jinai unakijua?. Sasa hivyo vyombo ndio vyenye huo uwezo kisheria.
Kasome hiyo sheria niliyoitaja hapo juu.
Na hata kama hawatakuwepo, unadhan Taarifa hizo atazikumbatia??.