Makonda huwa anatumia vilevi?Ili kuendelea kupinga vitendo vya uvunjifu wa amani mkoani Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amewaahidi wananchi wa mkoa huo hususani Bodaboda kuwa yeyote anayemjua mwizi na mwenye viashiria vya wizi basi akifika katika ofisi yake (yaani ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha) atapatiwa Tsh. 1,000,00/- (laki moja tu)
Makonda ametoa ahadi hiyo leo, Jumapili Julai 14.2024 wakati wa hafla ya kufunga mashindano ya 'Samia Motocross Championship'
View attachment 3042527
Makonda ni Big Brain, usifananishe Uwezo wake na Uozo uloujaza Kwenye hilo bichwa KiparaMakonda huwa anatumia vilevi?
Wewe huwa unatumia vilevi!Makonda ni Big Brain, usifananishe Uwezo wake na Uozo uloujaza Kwenye hilo bichwa Kipara
Sheria?. Hizi Sheria sindo ambazo Mtu anakua, Kisha anakua na Wakili Mzuri , Wakili anatumia Mapungufu ya Sheria zenyewe na hatimaye Muuaji anakua Huru?.Hahahah, kuna sheria inaitwa The Whistleblower and Witness Protection Act, 2015. kwa tafsiri rahisi ni Sheria ya Wafichuzi na Ulinzi wa Mashahidi.
Nauliza tu hivi ndugu RC ameshauriwa kweli au kuambiwa juu ya uwepo wa hii sheria na matakwa yake?
Haya bana yetu macho.
Sijawahi, Situmiii na sitotumia.Wewe huwa unatumia vilevi!
Punguza ujinga kidogo Mkuu.Sheria?. Hizi Sheria sindo ambazo Mtu anakua, Kisha anakua na Wakili Mzuri , Wakili anatumia Mapungufu ya Sheria zenyewe na hatimaye Muuaji anakua Huru?.
By the way Kwa Wanasheria gan??. Hawa wabungeni ??
Nchi hiii Ina wasomi wa KISHENZI wengi sana, Wazee wa mavyeti na Makaratasi but I tell you, Wana Uwezo ambazo ni 0 katika kuhakikisha Wana put into effect kile walichokisomea.
Makonda Yuko SAHIHI
Unamkataa jamaa yako,?Makonda huwa anatumia vilevi?
Unafahamu kuwa anayeweza kutoa zawadi kwa mfichuzi (whistleblower) ni Mamlaka yenye uwezo wa kufanya upelelezi?
Na Tanzania swala la kufanya upelelezi kwenye makosa ya Jinai halipo kwa RC bali ni Polisi, Takukuru, FIU, TCRA, n.k zote zina mifumo ya kushughulikia makosa ya kijinai.
Sasa swali ni RC anatoa zawadi kwa hao wafichuzi chini ya sheria gani?, lazima hili liulizwe ili ifahamike ni pesa yake binafsi au pesa ya umma inayopaswa kufuata mtiririko sahihi.
Kwani hufahamu kuwa RC ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa,?Punguza ujinga kidogo Mkuu.
Wewe unafikiri mtu yoyote anaweza tu kutoka na kujiamulia maamuzi yake kwenye hii nchi?. Ni lazima sheria zifuatwe na zikiwa hazijafuatwa ielezwe wazi.
Unafahamu kuwa anayeweza kutoa zawadi kwa mfichuzi (whistleblower) ni Mamlaka yenye uwezo wa kufanya upelelezi?
Na Tanzania swala la kufanya upelelezi kwenye makosa ya Jinai halipo kwa RC bali ni Polisi, Takukuru, FIU, TCRA, n.k zote zina mifumo ya kushughulikia makosa ya kijinai.
Sasa swali ni RC anatoa zawadi kwa hao wafichuzi chini ya sheria gani?, lazima hili liulizwe ili ifahamike ni pesa yake binafsi au pesa ya umma inayopaswa kufuata mtiririko sahihi.
Punguza ujinga kidogo Mkuu.

Ndio ni mwenyekiti wa kamati, ila swali ni nani anayepeleleza makosa ya jinai?RC ni 'mwenyekiti' wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa.
Watanzania mbona hamfahamu taratibu na sheria zenu wenyewe?.Kwani hufahamu kuwa RC ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa,?
Hufahamu kuwa wafichuzi wanaenda Ofisi ya RC ambayo ina nyenzo zote ulizo zitaja hapo??
Chini ya Mkoa , shughuli za RSO, RPC , zinaripotiwa Kwa nani?.Ndio ni mwenyekiti wa kamati, ila swali ni nani anayepeleleza makosa ya jinai?
Tuna vyombo vya ulinzi na mamlaka za kusimamia sheria zinavyofanya hiyo kazi sio kamati.
Hiyo ni sheria sio utashi binafsi wa mtu
Unaonekana wewe ndio hufahamu!Watanzania mbona hamfahamu taratibu na sheria zenu wenyewe?.
Vyombo vinavyopeleleza makosa ya jinai unakijua?. Sasa hivyo vyombo ndio vyenye huo uwezo kisheria.
Kasome hiyo sheria niliyoitaja hapo juu.