RC Makonda: Anayemjua mwizi aje ofisini kwangu kusema, nitampa laki moja

Watanzania mbona hamfahamu taratibu na sheria zenu wenyewe?.

Vyombo vinavyopeleleza makosa ya jinai unakijua?. Sasa hivyo vyombo ndio vyenye huo uwezo kisheria.

Kasome hiyo sheria niliyoitaja hapo juu.
Makonda kasema, atapeleleza, au Kawataka Wananchi wamletee Taarifa Mkoani ambapo kutakuapo tayari wahusika wanaoshighulikia ?.


Na hata kama hawatakuwepo, unadhan Taarifa hizo atazikumbatia??.
 
Bashite ameshatest mitambo yote mpaka hivi sasa,kuwa mkuu wa mkoa katika mikoa miwili yenye wajanja wengi si haba.
 
Wewe jamaa, hiv RC ni chombo cha upelelezi wa makosa ya jinai?.

Unafikiri ni kwanini huwa wakuu wa mikoa, mawaziri au raisi wakienda kwenye miradi wakahisi kuna upigaji au ufisadi wanaita watu wa Takukuru au polisi wachukue wahusika wakawahoji?

Ni kwasababu hivyo vyombo ndio vyenye mamlaka ya kupeleleza. Ingekuwa RC kwavile ndio mwenyekiti wa ulinzi mkoa basi angefanya maamuzi yeye ila hawezi na hana hayo mamlaka.

Jifunze Mkuu
 
Huyu jamaa yenu ndo maana tunasema alipata 0

Sasa hiyo kazi ya polisi yeye anaitaka ya Nini?? Hiyo ni taaluma ya kipolisi
 
Katika kazi zangu niliwahi kukutana na wachina wakorofi, wajinga, na watoarushwa, wakaenda kushitaki kwa mkuu wa wilaya

Mkuu wa wilaya akaniita niende ofisini nikagoma nikawapelekea wachina invoice ya kwenda kwa mkuu wa wilaya

Kesi yao ilikufa haikuendelea
 
Makonda kasema, atapeleleza, au Kawataka Wananchi wamletee Taarifa Mkoani ambapo kutakuapo tayari wahusika wanaoshighulikia ?.


Na hata kama hawatakuwepo, unadhan Taarifa hizo atazikumbatia??.
Kisheria hana hayo mamlaka ya kutoa zawadi kwa wafichuzi, labda kama atatoa pesa zake binafsi na pia hao watu hawata qualify kuwa wafichuzi na hata kuja kuwatumia Mahakamani kama mashahidi itasumbua sababu chain haijafuatwa.

Nitakupa mfano,

Polisi wanaweza wakakamata gunia la bangi, ila kama watalichukuana kulipeleka kituoni tu na kisha kwenda mahakamani kutoa ushahidi kuwa walimkamata mtuhumiwa na gunia la bangi, lazima washindae kesi. Kwanini?, sababu hawatakuwa wamefuata utaratibu.

Sasa hivyo hivyo kwa hao wafichuzi, lazima utaratibu ufuatwe sababu kuna mengi baada ya hapo.

Eleweni mifumo inavyofanya kazi Wakuu.

What if nikasema hiyo ni rushwa? Sababu ni ushawishi nje ya mfumo rasmi.

Hili ni jambo nyeti lililochukuliwa kiurahisi.
 
Nonsense
Nonsense
 
Ndio yale yale ya kwenye madawa unakuja kuishia kuchafua watu kwani kiongozi unashindwa kufanya kazi kimya kimya kesho watu watatofautiana mitazamo wataenda kutajana kwa RC kama wezi nia njema isipokua na dhamira njema huishia kwenye uovu na soon usishangae target ikawa wanasiasa
 
Ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Arusha.
Tips anaweza kupewa kiongozi yeyote ila ufuatiliaji ukafanywa na chombo husika.
Invoice? Walikuwa wanauzwa au?
 
Aanze na Bosi wake,
 
Huyu ni Big Brain kwenye Taifa la Wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…