Wwe una fikra finyu sana, na punguza kukariri, kua muelewa wa jambo na sio kukariri vitabu,soma kwa makini ili ulielewe jambo kwa undani zaidi!!Ndio ni mwenyekiti wa kamati, ila swali ni nani anayepeleleza makosa ya jinai?
Tuna vyombo vya ulinzi na mamlaka za kusimamia sheria zinavyofanya hiyo kazi sio kamati.
Hiyo ni sheria sio utashi binafsi wa mtu
Awe makini sana, kesi za kubambika hazikosekani kwenye mazingira aina hii.Ili kuendelea kupinga vitendo vya uvunjifu wa amani mkoani Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amewaahidi wananchi wa mkoa huo hususani Bodaboda kuwa yeyote anayemjua mwizi na mwenye viashiria vya wizi basi akifika katika ofisi yake (yaani ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha) atapatiwa Tsh. 100,000/- (laki moja tu)
Makonda ametoa ahadi hiyo leo, Jumapili Julai 14.2024 wakati wa hafla ya kufunga mashindano ya 'Samia Motocross Championship'
Sijawahi kummwona Makonda wa maana, kwa hili nampa gumba, watu wengi wanashindwa kuja nchi hii kwa sababu ya vibakaMakonda huwa anatumia vilevi?
Ungemsifia kwa kutekeleza hiyo sheria.Hahahah, kuna sheria inaitwa The Whistleblower and Witness Protection Act, 2015. kwa tafsiri rahisi ni Sheria ya Wafichuzi na Ulinzi wa Mashahidi. Pamoja na Kanuni zake za 2023
Nauliza tu hivi ndugu RC ameshauriwa kweli au kuambiwa juu ya uwepo wa hii sheria na kanuni zake na matakwa yake?
Haya bana yetu macho.
Taarifa zozote zile lazima zichakatwe kwanza,hata ukiambiwa flani anatoka na mkewo,lazima taarifa zichakatwe kwanza! Na matokeo ya uchakataji ndiyo yatatoa mwelekeo wa taarifa!!Hii sio njema..
Vip kama mtu una bifu nae ukaenda kumchoma kwa RC
Na Mawakili wasiopenda haki itendeke mradi wao wapate pesa huwa wanapenda kutumia hayo mapungufu ya police mahakamani kutetea wahalifu wao,badala ya kuonyesha kua kweli mteja wake hajatenda hilo kosa,wao wanangangana na mapungufu kwenye PGO tu!!Tatizo hii nchi inawajuaji wajinga wengi sana ambao ujuaji wao ukifafilia haujawahi kuwasaidia chochote wao wenyewe achilia mbali familia au taifa.
Mnafahamu kabisa kashfa za Jeshi letu la kaki, mnafahamu namna wanavyofanya kazi bila weledi, ni jukumu lao kushughulikia uhalifu je nani anaweza kuwapelekea taarifa za uhalifu?
Makonda kasema nenda karipoti tu. Hayo ya upelelezi muachie yeye. Wew shida yako nini?Ndio ni mwenyekiti wa kamati, ila swali ni nani anayepeleleza makosa ya jinai?
Tuna vyombo vya ulinzi na mamlaka za kusimamia sheria zinavyofanya hiyo kazi sio kamati.
Hiyo ni sheria sio utashi binafsi wa mtu
The real big brain!Makonda ni Big Brain, usifananishe Uwezo wake na Uozo uloujaza Kwenye hilo bichwa Kipara
usibishane na darasa la saba mkuuPunguza ujinga kidogo Mkuu.
Wewe unafikiri mtu yoyote anaweza tu kutoka na kujiamulia maamuzi yake kwenye hii nchi?. Ni lazima sheria zifuatwe na zikiwa hazijafuatwa ielezwe wazi.
Unafahamu kuwa anayeweza kutoa zawadi kwa mfichuzi (whistleblower) ni Mamlaka yenye uwezo wa kufanya upelelezi?
Na Tanzania swala la kufanya upelelezi kwenye makosa ya Jinai halipo kwa RC bali ni Polisi, Takukuru, FIU, TCRA, n.k zote zina mifumo ya kushughulikia makosa ya kijinai.
Sasa swali ni RC anatoa zawadi kwa hao wafichuzi chini ya sheria gani?, lazima hili liulizwe ili ifahamike ni pesa yake binafsi au pesa ya umma inayopaswa kufuata mtiririko sahihi.
📌Nchi hiii Ina wasomi wa KISHENZI wengi sana, Wazee wa mavyeti na Makaratasi but I tell you, Wana Uwezo ambazo ni 0 katika kuhakikisha Wana put into effect kile walichokisomea.
Wajinga ni wengi sana hii nchi. Unataka kuweka sheria pembeni ili uishije?, kihuni huni?. Unafahamu kuwa mfichuzi baadae anakuja kuwa shahidi muhimu kwenye kesi husika?, unajua kuwa isipozingatiwa sheria hata qualify kuwa shahidi muhimu na ushahidi wake wote utapuuzwa, mwisho wa siku kesi yote itavurugika.Hizo sheria weka pembeni mama, labda kwa vile hujawahi kukumbana na kadhia ya majambazi,wauwaji au wabakaji
Watajwe matukio yao yafwatiliwe na kufufuliwa!!
Naunga mkono hoja
Fuateni sheria WakuuWwe una fikra finyu sana, na punguza kukariri, kua muelewa wa jambo na sio kukariri vitabu,soma kwa makini ili ulielewe jambo kwa undani zaidi!!
Kuripoti ni sawa na sio sawa pia. Kwanini ukaripoti uhalifu kwa RC? kwani haupajui polisi au vyombo vingine vya upelelezi.Makonda kasema nenda karipoti tu. Hayo ya upelelezi muachie yeye. Wew shida yako nini?
Kwakweli MkuuU
usibishane na darasa la saba mkuu
Nimesikitika kuona kuna majinga yanashabikia huu upumbavu wa bashite.Kuripoti ni sawa na sio sawa pia. Kwanini ukaripoti uhalifu kwa RC? kwani haupajui polisi au vyombo vingine vya upelelezi.
Mfano unaombwa rushwa ya ngono, badala ya kwenda Takukuru wewe unaenda kwa RC ili iweje?
Sasa hapo kuna swala lingine wengi hawalielewi, alilolisema RC kuna sheria inayolisimamia. Sio swala jipya kamwe lipo na lina sheria inayolisimamia