RC Makonda: Anayemjua mwizi aje ofisini kwangu kusema, nitampa laki moja

Yule Mama alimpata baba wa mtoto wake baada ya baba wa mtoto kumuona mtoto wake na mama yake kwenye ule mkutano wa Makonda DSM akiwa China huko kwao!!
 
Wadudu wapo kwenye huu uzi wanapinga maamuzi ya RC

Shikilia hapo hapo Makonda ,shika mdudu piga viboko weka ndani peleka maweni ikalime karanga midudu hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…