RC Makonda atangaza rasmi ratiba ya kufunga na kufungua Mwaka Arusha

RC Makonda atangaza rasmi ratiba ya kufunga na kufungua Mwaka Arusha

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Habari JF ,Arusha kumenoga , kuanzia tar 28/12/2024 kutakuwa Churchill show kutakuwa na mtaa wa Bia na zitauzwa kwa bei rahisi , kutakuwa na mtaa wa Nyama Choma .

Tar 31 ni mkesha mkubwa .


Hakika mkoa wa Arusha unatangazwa vilivyo .
 
Mpenda sifa tu huyo, hata bila matamko yake mbona kila mwaka huwa kunakuwa na mkesha wa mwaka mpya?!.
Mtu mwenye elimu ndogo utamjua tuu. Hukuza matukio badala ya fikra!!! Awamu hii Wanachuga wamepatwa vilivyo. Kwa hiyo Mkuu wa Mkoa hajui kama Wanaarusha husherehekeaji hizo siku?
 
Back
Top Bottom