Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Sijafikiria negative nimeleta challenge maana maisha ya wabongo tunajijua weng ni unga unga,na mifumo si imara kwa maana baada ya kusanyiko kuna fursa hutokea watu wanaporudi mahome....Ni sawa, jambo ambalo yy amewezesha ni wazo, eneo la watu kukusanyika mahali pamoja na coordinatios, hii ni fursa kwa wafanyabiashara kufanya biashara katika maana halisi kwamba faida wataipata, lkn kwa wananchi kwamba huduma nyingi watazipata eneo moja katika nyakati moja. Practically uchumi wa kila muhusika utakuwa stimulated in one way or another. Tusifikirie only negative mzee mambo mengine tumpe hongera!!....