RC Makonda atangaza rasmi ratiba ya kufunga na kufungua Mwaka Arusha

RC Makonda atangaza rasmi ratiba ya kufunga na kufungua Mwaka Arusha

Sijawahi kuwa ccm mkuu ,nina kadi ya CDM na niko tayari kumsupport Mwenyekiti ajaye Tundu lissu .

Makonda ni mbunifu lakini pia ni mchapa kazi siwezi mchukia
Upumbavu wako ndiyo unaoana Makonda ni mbunifu. Infact elimu ya Tanzania inafanya watu wawe wapumbafu kiasi cha kuita cheap popularity seekers kuwa ni wabinifu.
 
Mtaa wa hizi toto ni wapi huko ?
download (5).jpeg
 
Hapo kwenye mtaa nyama watuwekee location mapema...Tukale kujigaragaza.
 
Kumbuka vitu vyote anavyofanya vinahitaji matumizi hakuna innovation ya kusaidia wasio kuwa na hizo Hela Hilo jambo umelizingatia
Ni sawa, jambo ambalo yy amewezesha ni wazo, eneo la watu kukusanyika mahali pamoja na coordinatios, hii ni fursa kwa wafanyabiashara kufanya biashara katika maana halisi kwamba faida wataipata, lkn kwa wananchi kwamba huduma nyingi watazipata eneo moja katika nyakati moja. Practically uchumi wa kila muhusika utakuwa stimulated in one way or another. Tusifikirie only negative mzee mambo mengine tumpe hongera!!....
 
Back
Top Bottom