Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
wivu tuMpenda sifa tu huyo, hata bila matamko yake mbona kila mwaka huwa kunakuwa na mkesha wa mwaka mpya?!.
Huyo Gwajiboi aliemuita Bashite DABwivu tu
Mpe sifa the guy is creative bana, kwa kifupi hakuna jambo jipya chini ya jua but innovations made it simple!Mpenda sifa tu huyo, hata bila matamko yake mbona kila mwaka huwa kunakuwa na mkesha wa mwaka mpya?!.
Sijawahi kuwa ccm mkuu ,nina kadi ya CDM na niko tayari kumsupport Mwenyekiti ajaye Tundu lissu .Mjomba wako, mtoto wa Erica Kilave ni kiongozi wa CDM na hata Erica mwenyew ni CDM ila wewe Nehemia umekua pro ccm
Na zaidi ni loyal kwa anayekalia kiti regardlessly.Makonda ni mbunifu lakini pia ni mchapa kazi siwezi mchukia
Hizi bia za buku buku hamnipeleki hukoHabari JF ,Arusha kumenoga , kuanzia tar 28/12/2024 kutakuwa Churchill show kutakuwa na mtaa wa Bia na zitauzwa kwa bei rahisi , kutakuwa na mtaa wa Nyama Choma .
Tar 31 ni mkesha mkubwa .
Hakika mkoa wa Arusha unatangazwa vilivyo .
Nionee wivu ule m trakoo auwivu tu
Rizevu ...Bora hili kuliko kutekana
Mtu mwenye elimu ndogo utamjua tuu. Hukuza matukio badala ya fikra!!! Awamu hii Wanachuga wamepatwa vilivyo. Kwa hiyo Mkuu wa Mkoa hajui kama Wanaarusha husherehekeaji hizo siku?Mpenda sifa tu huyo, hata bila matamko yake mbona kila mwaka huwa kunakuwa na mkesha wa mwaka mpya?!.
Ni kawaida ya watu wenye chuki, usiumize akili.Tupunguze negativity, watu wamekua na chuki sana hata bila sababu,