Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Sijafikiria negative nimeleta challenge maana maisha ya wabongo tunajijua weng ni unga unga,na mifumo si imara kwa maana baada ya kusanyiko kuna fursa hutokea watu wanaporudi mahome....Ni sawa, jambo ambalo yy amewezesha ni wazo, eneo la watu kukusanyika mahali pamoja na coordinatios, hii ni fursa kwa wafanyabiashara kufanya biashara katika maana halisi kwamba faida wataipata, lkn kwa wananchi kwamba huduma nyingi watazipata eneo moja katika nyakati moja. Practically uchumi wa kila muhusika utakuwa stimulated in one way or another. Tusifikirie only negative mzee mambo mengine tumpe hongera!!....
Acha roho mbaya ,huko vijijini mara nyingi tu upo , halafu kwani ofisi yake iko wapi ?Nilidhani yeye ni Mkuu wa Mkoa, ila nashangaa kila wakati anaongelea tu Arusha mjini. Anafanya vitu ambavyo in a long run havina msaada wowote, just to get him trending. Arusha ni zaidi ya hapo mjini, he has to invest his time dealing with the other parts of Arusha (which is where most struggling citizens are residing at) as well
Kwamba mrina hupajui? Picnic je? Acha hizo jombaaMtaa wa hizi toto ni wapi huko ?View attachment 3181406
π€£π€£π€£Sisi wengine wageni ArushaKwamba mrina hupajui? Picnic je? Acha hizo jombaa
Rudi mbgala chalambe kasubir wa buku jero na nyongeza ya Yutiai!!π€£π€£π€£Sisi wengine wageni Arusha
hahahahahhhahahRudi mbgala chalambe kasubir wa buku jero na nyongeza ya Yutiai!!
Nawe unahangaika na elimu kisa tu una basic certificate of ignorance vyeti vingine yamekuwa Kama makaratasi tu halilisaidii TaifaMtu mwenye elimu ndogo utamjua tuu. Hukuza matukio badala ya fikra!!! Awamu hii Wanachuga wamepatwa vilivyo. Kwa hiyo Mkuu wa Mkoa hajui kama Wanaarusha husherehekeaji hizo siku?
mimi nataka za ArushaRudi mbgala chalambe kasubir wa buku jero na nyongeza ya Yutiai!!
Mjini ndio kuna kiki kubwa.Nilidhani yeye ni Mkuu wa Mkoa, ila nashangaa kila wakati anaongelea tu Arusha mjini. Anafanya vitu ambavyo in a long run havina msaada wowote, just to get him trending. Arusha ni zaidi ya hapo mjini, he has to invest his time dealing with the other parts of Arusha (which is where most struggling citizens are residing at) as well
elimu imeingiaje hapa ?Mtu mwenye elimu ndogo utamjua tuu. Hukuza matukio badala ya fikra!!! Awamu hii Wanachuga wamepatwa vilivyo. Kwa hiyo Mkuu wa Mkoa hajui kama Wanaarusha husherehekeaji hizo siku?
Mkuu kama elimu haina maana, ishauri serikali ifute shule na vyuo. Ukuda huu wa umbumbumbu na uchawa uko ukingoni!! Issues za kusherehekea sherehe za kidini siyo agenda, ni desturi. Tumeshindwa kuwashauri wananchi namna ya kusherehekea siku ya Uhuru wa nchi yao,leo tunahamisha magoli.Nawe unahangaika na elimu kisa tu una basic certificate of ignorance vyeti vingine yamekuwa Kama makaratasi tu halilisaidii Taifa
Eti anafundisha watu wa Arusha namna ya kuchoma nyama. A foolish idea.Kiki za kijinga, mara landrover mara nyama festival upuuzi mtupu.
Kazi ya kuwaelekeza watu kama wa Arusha namna ya kuchoma nyama, au kunywa bia ni ulimbukeni na siyo kazi ya Mkuu wa Mkoa. Ni aina fulani ya ushamba unaoendana na upungufu wa elimu.elimu imeingiaje hapa ?
Hawa wa 2000Mtaa wa hizi toto ni wapi huko ?View attachment 3181406
Ni mbunifu bhana, it can openly be seen.Upumbavu wako ndiyo unaoana Makonda ni mbunifu. Infact elimu ya Tanzania inafanya watu wawe wapumbafu kiasi cha kuita cheap popularity seekers kuwa ni wabinifu.
Ah kweli kuna watu wana wivu wa kukaza fuvu kabisa. πKazi ya kuwaelekeza watu kama wa Arusha namna ya kuchoma nyama, au kunywa bia ni ulimbukeni na siyo kazi ya Mkuu wa Mkoa. Ni aina fulani ya ushamba unaoendana na upungufu wa elimu.
Acha wivu bhana πππKiki za kijinga, mara landrover mara nyama festival upuuzi mtupu.
Kwa vilaza, uninformed and people with very limited exposure.Ni mbunifu bhana, it can openly be seen.