RC Makonda atembelea kituo cha daladala Makumbusho. Ahimiza usafi, aruhusu bodaboda, Bajaji kuingia mjini

RC Makonda atembelea kituo cha daladala Makumbusho. Ahimiza usafi, aruhusu bodaboda, Bajaji kuingia mjini

We mbwiga Bodaboda hazijaruhusiwa kupunguza maambukizi bali kukabili tatizo la usafiri katikati ya mji baada ya agizo la magari kupakia level seat.

Huyu Mhe.Makario Makonda ana virusi vya uzezeta....!!
Swala kuhusu CORONA tumeambiwa wasemaji wa Serikali ni 4 tu: PM Majaliwa, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu,Makamu Rais au Rais mwenyewe!
Sasa huyu kidudu mtu anatoa wapi Mamlaka ya KUBADILI a taratibu za Wana Dar kwa kisingizio Cha kupambana na Corona-V?

Kwa kuruhusu Bodaboda kuingia Katikati ya Jiji Makonda ana uhakika gani itasaidia kupunguza maambukizi?

Sijui maambukizi yakizidi kuongezeka kwa Wana Dar kwasababu ya kumsikiliza huyu RC asiyejitambua Serikali itawaambia Nini Watz?

Mungu aepushie mbali.
 
Makonda anautoto wa kimawazo hivi watu mnamkataba alafu useme eti kodi ipunguzwe nusu utajazia Wewe hiyo nusu iliyobaki? Vipi na chakula kiuzwe nusu bei basi, nauli nazo ziwe nusu nk. Ujinga ujinga!!
 
We mbwiga Bodaboda hazijaruhusiwa kupunguza maambukizi bali kukabili tatizo la usafiri katikati ya mji baada ya agizo la magari kupakia level seat....

Wewe ni mburulas tu huna lolote. Unachopinga hapa ni kitu gani?

According to Makonda mantiki ya kuruhusu Bodaboda kuingia mjini ni kukabiliana na tatizo la Usafiri lilosababishwa na CORONA Virus!

Usicho elewa ni nini hapo?

Rais M-7 wa Uganda amepiga marufuku hata Bodaboda kubeba abiria nchini Uganda halafu mwendawazimu mmoja hapa Dar anaona kutumia Boda ni big deal ya kupambana na Covid-19.Inept!!
 
Pumbavu,

Chuki itakuponza. Makonda anashughulika na changamoto ya usafiri kufuatia makatazo mbalimbali yaliyowekwa kwenye usafiri wa umma.

Wewe ni mburulas tu huna lolote. Unachopinga hapa Ni kitu gani?

According to Makonda mantiki ya kuruhusu Bodaboda kuingia mjini ni kukabiliana na tatizo la Usafiri lilosababishwa na CORONA Virus!

Usicho elewa ni nini hapo?

Rais M-7 wa Uganda amepiga marufuku hata Bodaboda kubeba abiria nchini Uganda halafu mwendawazimu mmoja hapa Dar anaona kutumia Boda ni big deal ya kupambana na Covid-19.Inept!!
 
RC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri.

Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la usafi.

Wakati huo huo, Paul Makonda leo April 1, 2020 ameruhusu Bajaji na Bodaboda zote kuingia katikati ya Jiji hilo ili kukabiliana na Adha ya Usafiri wanayokabiliwa wananchi katika kipindi hiki cha kupambana na Ugonjwa wa #Corona.

Makonda ameruhusu bodaboda na bajaji kuingia katikati ya Jiji

Makonda amewataka wenye nyumba za kupanga kupunguza kodi kwa 50%

Makonda amesema yeye hana mamlaka ya kuwaamuru Mwendo kasi hilo ni jukumu la waziri Jaffo

Wasiokuwa na shughuli za maana basi wabaki majumbani wasizurure hovyo.

Kama huna safari ya lazima kwenda mkoani basi usisafiri na kama uko mkoani usije Dar kama huna sababu za msingi.
View attachment 1405771
Amesema Ndege moja ya Ethiopia inaingia kwa ajili ya watanzania ambao wanahitaji kurudi nyumbani ,sasa wakishaingia watafikia karantini kwa ajili ya uangalizi kwa hiyo mtu yeyote asiende Uwanja Wa Ndege watapokelewa na ofisi ya Mkoa na kupelekwa Karantini kwa siku 14.

“Mungu akipenda tutakuwa na helkopta zitapita kumwaga dawa za kuua wadudu na gari pia zitapita kila sehemu nitatumia mamlaka yangu kufanya kazi". Amesema RC Makomda
Analeta misongamano .Hatudanganyiki
 
Makonda anautoto wa kimawazo hivi watu mnamkataba alafu useme eti kodi ipunguzwe nusu utajazia Wewe hiyo nusu iliyobaki? Vipi na chakula kiuzwe nusu bei basi, nauli nazo ziwe nusu nk. Ujinga ujinga!!

Kama Makonda anaona kupunguza Kodi za nyumba, fremu za biashara au Bei a vyakula aanze na MSHAHARA WAKE alipwe NUSU na amwambie Rais Jiwe apunguze VAT na PAYE by 50% hapo tutakuwa tunaongea lugha moja.....Vinginevo anabwabwaja tu kama korofindo kujitafutia umaarufu wa kitoto....!!
 
Pumbavu,

Chuki itakuponza. Makonda anashughulika na changamoto ya usafiri kufuatia makatazo mbalimbali yaliyowekwa kwenye usafiri wa umma.

We ni Pumbavu Waheed unayetetea Upumbavu. Iwe ni changamoto ya Usafiri, Kodi za nyumba, etc, the main agenda hapa Ni Covid-19...! Usitake kuwaondoa watu kwenye reli..!Kwa akili zenu na Makonda wako unafikiri Boda ndo suluhisho la Usafiri Dar? Hivi unajua maana ya Social Distance Kati ya mtu na mtu ili kuzuia maambukizi ya Covid-19? Kuna umbali gani kati ya Boda driver na Abiria wake?We ni bonge la Kilaza!
 
Hii ndio tabu ya kujadiliana na malofa. Kila jambo analipachika kwa anayemchukia tena kwa kulazimisha.

Lofa mkubwa ni weye unayemshabikia Makonda hata kama anaongea pumba na kutoa maelekezo ya kipuuzi kutaka kuwaangamiza Wana Dar na Watz wote kwa ujumla wake..!
CHUKI anayo jamaa yako Makonda mpuuzi mkubwa asiye zingatia maadili ya kikazi na Kiafya kiasi Cha kuanza kutaja majina ya wagonjwa wa Corona hadharani kwa CHUKI za kijinga...!
Shame on you!
 
Tulia dawa ikuingie wewe, acha kukuru kakara...

Back
Top Bottom