RC Makonda atembelea kituo cha daladala Makumbusho. Ahimiza usafi, aruhusu bodaboda, Bajaji kuingia mjini

RC Makonda atembelea kituo cha daladala Makumbusho. Ahimiza usafi, aruhusu bodaboda, Bajaji kuingia mjini

Tangu nimemtumia landlord huu ujumbe wa mheshimiwa, hataki kupokea simu yangu. Nahisi atakua anatekeleza tamko kwa kuandika mkataba mpya. [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye kujielewa wamejipa isolation bila ya kuombwa, huruma ni kwa wale ambao wangependa kuchukua hatua hizo isipokuwa kwa kufanya ivyo ni kama wamejifukuzisha kazi maana sio azimio la serikari.

Kwa wale wanaoona kuna ulazima wa kuendelea na shughuli zao na bila ya kutoka awatokula ngoja tuone mwisho wao.
 
Kuhusu wagonjwa wa Corona Waziri husika pamoja na Waziri Mkuu ndiyo wenye mamlaka ya kutangaza, lakini ajabu kila mmoja anajua bashite alifanya nini, haya mikusanyiko idhibitiwe lakini bashite ndiyo hivyo tena. Huyu atakuwa na tatizo kuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatua nzuri dhidi ya mapambano juu ya corona nichukue nafasi hii kumpongeza mkuu wa mkoa pamoja na timu ya watalamu ,vyombo ya habari na wadau wote...TUNAWE MIKONO KWA MAJI YANAYOTIRIRIKA KWA SABUNI, TUEPUKE MKUSANYIKO,BILA KUSAHAU KUTUMIA VITAKATISHA MIKONO ENDAPO MAJI HAYATOKUA KARIBU

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Vp huyo anayeleta mikusanyiko isiyo na lazima a.k.a Bashite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkusanyiko upi usio wa lazima umeletwa na kwa ushahidi upi,ujue nyie vijana mnaochipukia kwa kupingapinga kila Jambo hua mnashangaza Sana ila si walaumu huwenda Ni tatizo la lishe na kutokujitambua flani ivi kiongozi akisimama na kutoa go-ahead ya nini kifanyike na ipi tadhari ichukuliwe Apo unaona Ni mkusanyiko usio wa lazima ulitaka kuona awo wanaojita makamanda ushuzi wakisimama na mihogo mkononi na masauti ya gongo yakihimiza mandamano nchi nzima
Vp huyo anayeleta mikusanyiko isiyo na lazima a.k.a Bashite

Sent using Jamii Forums mobile app

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Pia angeomba na punguzo la Umeme na maji kwani ni janga la wote
Hata vat ikifutwa kwa miezi mitatu nalo neno au mnaonaje

Sent from my iPhone using Tapatalk
Angekiwa ametenda la maana ni muhimu nguo kupasiwa kila wakati na matumizi ya maji yame ongezeka!
 
Kwa hiyo lodge na guest house zitapunguza bei pia?

Siyo Kila Kiuzwacho Sokoni Chafaa Kununuliwa
 
Angekiwa ametenda la maana ni muhimu nguo kupasiwa kila wakati na matumizi ya maji yame ongezeka!

Ni kweli kuna baadhi ya mambo wangepunguza kwa kupindi hiki cha mpito
Sisi huku kufa kufaana mpaka mishahara watatoa kwa 80% na parking za magari ni bure mpaka further notice
Kuna makampuni ya simu miezi 3 hakuna kulipa
Na mambo mengi sana
Ila biashara nyingi sana zimefungwa huku na watu tumelala tu
Tuombe Mungu yapite maana ni janga kubwa sana hatujawahi kuona

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
RC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri.

Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la usafi.

Wakati huo huo, Paul Makonda leo April 1, 2020 ameruhusu Bajaji na Bodaboda zote kuingia katikati ya Jiji hilo ili kukabiliana na Adha ya Usafiri wanayokabiliwa wananchi katika kipindi hiki cha kupambana na Ugonjwa wa #Corona.

Makonda ameruhusu bodaboda na bajaji kuingia katikati ya Jiji

Makonda amewataka wenye nyumba za kupanga kupunguza kodi kwa 50%

Makonda amesema yeye hana mamlaka ya kuwaamuru Mwendo kasi hilo ni jukumu la waziri Jaffo

Wasiokuwa na shughuli za maana basi wabaki majumbani wasizurure hovyo.

Kama huna safari ya lazima kwenda mkoani basi usisafiri na kama uko mkoani usije Dar kama huna sababu za msingi.
View attachment 1405771
Amesema Ndege moja ya Ethiopia inaingia kwa ajili ya watanzania ambao wanahitaji kurudi nyumbani ,sasa wakishaingia watafikia karantini kwa ajili ya uangalizi kwa hiyo mtu yeyote asiende Uwanja Wa Ndege watapokelewa na ofisi ya Mkoa na kupelekwa Karantini kwa siku 14.

“Mungu akipenda tutakuwa na helkopta zitapita kumwaga dawa za kuua wadudu na gari pia zitapita kila sehemu nitatumia mamlaka yangu kufanya kazi". Amesema RC Makomda
Mkuu kuna jina linaonekana hapo kwenye hiyo foto ni rahisi kuiexpose ID yako.
 
Ni ushauri tu.

RC Makonda amewaomba wenye nyumba na majengo kuwapunguzia kodi wapangaji wao kwa 50% katika kipindi hiki cha ugumu wa uchumi unaosababishwa na Corona.
Ni ubunifu mzuri.

Naomba RC Makonda aifikishe Nia hii njema pale bungeni kwa Spika Ndugai ili awapunguzie posho wabunge wanaohudhuria bunge kwa mafungu tena kwa saa 4 tu kwa siku yenye saa 24.

Nawasilisha

Maendeleo hayana vyama!
 
Na wao kama serikali wamesaidia nini kwa wafanyakazi waliopunguzwa kwasababu ya Corona, especially mahoteli ya kitalii kwa kukosa wateja?

Ingependeza serikali iwe mfano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mwenye nyumba alichukua mkopo kupitia nyumba yake na anapaswa kurejesha benki atapunguziwa riba na kuongezewa muda wa kurejesha kutokana na Corona?

Corona haina chama
Ni ushauri tu.

RC Makonda amewaomba wenye nyumba na majengo kuwapunguzia kodi wapangaji wao kwa 50% katika kipindi hiki cha ugumu wa uchumi unaosababishwa na Corona.
Ni ubunifu mzuri.

Naomba RC Makonda aifikishe Nia hii njema pale bungeni kwa Spika Ndugai ili awapunguzie posho wabunge wanaohudhuria bunge kwa mafungu tena kwa saa 4 tu kwa siku yenye saa 24.

Nawasilisha

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ushauri tu.

RC Makonda amewaomba wenye nyumba na majengo kuwapunguzia kodi wapangaji wao kwa 50% katika kipindi hiki cha ugumu wa uchumi unaosababishwa na Corona.
Ni ubunifu mzuri.

Naomba RC Makonda aifikishe Nia hii njema pale bungeni kwa Spika Ndugai ili awapunguzie posho wabunge wanaohudhuria bunge kwa mafungu tena kwa saa 4 tu kwa siku yenye saa 24.

Nawasilisha

Maendeleo hayana vyama!

Mbona RC Makonda hajasema kuwa na hao Wenye Nyumba nao TRA iwasamehe Kodi za Majengo na Ardhi na pia hata wakiwa wanaenda Masokoni ' Kuhemea ' na huko pia wapunguziwe Bei Vitu? RC wako ni Mnafiki na anazitoa hizi baada ya kuwa na nia ya Kugombea Ubunge ndani ya Majimbo ya Dar es Salaam.
 
Ni ushauri tu.

RC Makonda amewaomba wenye nyumba na majengo kuwapunguzia kodi wapangaji wao kwa 50% katika kipindi hiki cha ugumu wa uchumi unaosababishwa na Corona.
Ni ubunifu mzuri.

Naomba RC Makonda aifikishe Nia hii njema pale bungeni kwa Spika Ndugai ili awapunguzie posho wabunge wanaohudhuria bunge kwa mafungu tena kwa saa 4 tu kwa siku yenye saa 24.

Nawasilisha

Maendeleo hayana vyama!
Wewe kazini kwako umepunguziwa mshahara,na muda wa kufanya kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom