Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Hili jambo sio rahisi namna hiyo...ndo maana ntaendelea kuunga mkono kauli ya rais ya kuendelea kuchapa kazi kwa tahadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo mazuri sana,lakini hapa wote watapinga bila kujali ni wa chama gani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni ushauri tu.
RC Makonda amewaomba wenye nyumba na majengo kuwapunguzia kodi wapangaji wao kwa 50% katika kipindi hiki cha ugumu wa uchumi unaosababishwa na Corona.
Ni ubunifu mzuri.
Naomba RC Makonda aifikishe Nia hii njema pale bungeni kwa Spika Ndugai ili awapunguzie posho wabunge wanaohudhuria bunge kwa mafungu tena kwa saa 4 tu kwa siku yenye saa 24.
Nawasilisha
Maendeleo hayana vyama!
Mambo yanabadilika kulingana na wakati.Hili jambo sio rahisi namna hiyo...ndo maana ntaendelea kuunga mkono kauli ya rais ya kuendelea kuchapa kazi kwa tahadhari
Ni ushauri tu.
RC Makonda amewaomba wenye nyumba na majengo kuwapunguzia kodi wapangaji wao kwa 50% katika kipindi hiki cha ugumu wa uchumi unaosababishwa na Corona.
Ni ubunifu mzuri.
Naomba RC Makonda aifikishe Nia hii njema pale bungeni kwa Spika Ndugai ili awapunguzie posho wabunge wanaohudhuria bunge kwa mafungu tena kwa saa 4 tu kwa siku yenye saa 24.
Nawasilisha
Maendeleo hayana vyama!
Waliokua wanampinga Magufuli kwa sasa wanamcopyMambo yanabadilika kulingana na wakati.
Jana Trump kasems kwa sasa uchumi ni kipaumbele namba 2 katika list yake!
Hapa hatuzungumzii mishahara bwashee!Yeye Makonda mbona hajasema mshahara wake upunguzwe, anapangia hela za wanaume wengine?
Bwashee sijazungumzia mshahara hapa.
Usikariri!
Wabunge siyo " kila mtu" bwashee!Kwani kila mtu ana posho?
Waliokua wanampinga Magufuli kwa sasa wanamcopy
Wabunge siyo " kila mtu" bwashee!
Hilo tutaelezwa na mwenyekiti wa wakuu wa mikoa!Vipi yeye na wenzake pia wamejitolea kupunguza kwa asilimia ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu huu ugonjwa maafaa yake hayata zibika!Ni kweli kuna baadhi ya mambo wangepunguza kwa kupindi hiki cha mpito
Sisi huku kufa kufaana mpaka mishahara watatoa kwa 80% na parking za magari ni bure mpaka further notice
Kuna makampuni ya simu miezi 3 hakuna kulipa
Na mambo mengi sana
Ila biashara nyingi sana zimefungwa huku na watu tumelala tu
Tuombe Mungu yapite maana ni janga kubwa sana hatujawahi kuona
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wenye nyumba za kupanga kupunguza kodi 50%? Kuna ka stimulus package?
tutaelezwa lini au hadi corona iishe?!.Hilo tutaelezwa na mwenyekiti wa wakuu wa mikoa!
Kwani kama angeita waandishi ofsni kwake border boda wasngepata ujumbe?hivi shule zenu bado hazjawasaidia?Mkusanyiko upi usio wa lazima umeletwa na kwa ushahidi upi,ujue nyie vijana mnaochipukia kwa kupingapinga kila Jambo hua mnashangaza Sana ila si walaumu huwenda Ni tatizo la lishe na kutokujitambua flani ivi kiongozi akisimama na kutoa go-ahead ya nini kifanyike na ipi tadhari ichukuliwe Apo unaona Ni mkusanyiko usio wa lazima ulitaka kuona awo wanaojita makamanda ushuzi wakisimama na mihogo mkononi na masauti ya gongo yakihimiza mandamano nchi nzima
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Ni ushauri tu.
RC Makonda amewaomba wenye nyumba na majengo kuwapunguzia kodi wapangaji wao kwa 50% katika kipindi hiki cha ugumu wa uchumi unaosababishwa na Corona.
Ni ubunifu mzuri.
Naomba RC Makonda aifikishe Nia hii njema pale bungeni kwa Spika Ndugai ili awapunguzie posho wabunge wanaohudhuria bunge kwa mafungu tena kwa saa 4 tu kwa siku yenye saa 24.
Nawasilisha
Maendeleo hayana vyama!
Yeye Makonda mbona hajasema mshahara wake upunguzwe, anapangia hela za wanaume wengine?