RC Makonda atembelea kituo cha daladala Makumbusho. Ahimiza usafi, aruhusu bodaboda, Bajaji kuingia mjini

RC Makonda atembelea kituo cha daladala Makumbusho. Ahimiza usafi, aruhusu bodaboda, Bajaji kuingia mjini

Wenye nyumba watapewa fidia ya kodi wanayo punguza?o
Huyu dogo naye akili hazimo. Wataalam wa Afya wanasisitiza kujiepusha mikusanyiko. Yeye ndo kwanza anakusanya watu na kuwahutubia. Kwa mtindo huu watu watapukutika kama kuku wa kideri!
 
Huyu dogo naye akili hazimo. Wataalam wa Afya wanasisitiza kujiepusha mikusanyiko. Yeye ndo kwanza anakusanya watu na kuwahutubia. Kwa mtindo huu watu watapukutika kama kuku wa kideri!

Dogo gani huyu ilhali Ni MTU MZIMA HOVYO?
Kuna watu wanamhusudu Makonda kwa vile anatumia MAKALIO makubwa kuwaza.....!!! Nasistiza tena, MAKALIO MAKUBWA KUWAZA......!!
 
Wenye nyumba watapewa fidia ya kodi wanayo punguza?
Huyu jamaa ni wa kupuuza na anapoitisha mkusanyiko inatakiwa watu wakimbie. Wakikaa kusikiliza ujinga wake anajiona ana akili na kumbe hana. Kupuliza dawa haisaidii hata kidogo kama mikusanyiko isiyo na umuhimu kama huo ulioutengezea inaendelea! Ni Mungu tu wakutuepushe lakini mwezi ujao tunaweza kuwa na kipindi kibaya sana katika historia ya nchi yetu. Hii corona siyo ya kuifanyia usanii wa kijinga namna hii.
 
Hivi sababu za kukataza bodaboda na bajaji city center zilikuwa zipi?
Navyoiona hii hatua ya kuruhusu bodaboda na bajaji inaenda kuongeza wingi wa watu mjini na hivyo kuongeza hatari zaidi ya huu ugonjwa kusambaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina shida na mkusanyiko wa huyu bwege nina shida na hao wanaokusanyika walitakiwa wamwache hapo abaki na ulimi wake anaoongea nao wa kila 120 na yale makalio makubwa utadhani mvaa sket na tight
 
Zero Brain,,, Hili la kupunguza mikusanyiko mkuu wetu halijamuingia au...???

Kwanini asiwaite waandishi kadhaa then aseme neno,, taarifa siku hizi zinafika haraka sana mbona....
 
RC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri.

Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la usafi.

Wakati huo huo, Paul Makonda leo April 1, 2020 ameruhusu Bajaji na Bodaboda zote kuingia katikati ya Jiji hilo ili kukabiliana na Adha ya Usafiri wanayokabiliwa wananchi katika kipindi hiki cha kupambana na Ugonjwa wa #Corona.

Makonda ameruhusu bodaboda na bajaji kuingia katikati ya Jiji

Makonda amewataka wenye nyumba za kupanga kupunguza kodi kwa 50%

Makonda amesema yeye hana mamlaka ya kuwaamuru Mwendo kasi hilo ni jukumu la waziri Jaffo

Wasiokuwa na shughuli za maana basi wabaki majumbani wasizurure hovyo.

Kama huna safari ya lazima kwenda mkoani basi usisafiri na kama uko mkoani usije Dar kama huna sababu za msingi.
View attachment 1405771
Amesema Ndege moja ya Ethiopia inaingia kwa ajili ya watanzania ambao wanahitaji kurudi nyumbani ,sasa wakishaingia watafikia karantini kwa ajili ya uangalizi kwa hiyo mtu yeyote asiende Uwanja Wa Ndege watapokelewa na ofisi ya Mkoa na kupelekwa Karantini kwa siku 14.

“Mungu akipenda tutakuwa na helkopta zitapita kumwaga dawa za kuua wadudu na gari pia zitapita kila sehemu nitatumia mamlaka yangu kufanya kazi". Amesema RC Makomda
Hatua nzuri dhidi ya mapambano juu ya corona nichukue nafasi hii kumpongeza mkuu wa mkoa pamoja na timu ya watalamu ,vyombo ya habari na wadau wote...TUNAWE MIKONO KWA MAJI YANAYOTIRIRIKA KWA SABUNI, TUEPUKE MKUSANYIKO,BILA KUSAHAU KUTUMIA VITAKATISHA MIKONO ENDAPO MAJI HAYATOKUA KARIBU

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Huyu jamaa ni wa kupuuza na anapoitisha mkusanyiko inatakiwa watu wakimbie. Wakikaa kusikiliza ujinga wake anajiona ana akili na kumbe hana. Kupuliza dawa haisaidii hata kidogo kama mikusanyiko isiyo na umuhimu kama huo ulioutengezea inaendelea! Ni Mungu tu wakutuepushe lakini mwezi ujao tunaweza kuwa na kipindi kibaya sana katika historia ya nchi yetu. Hii corona siyo ya kuifanyia usanii wa kijinga namna hii.

Sijui Nani kam-fool Bwana Makalio Makonda kuwa kupulizia/kunyunyizia dawa itamaliza COVID-19 Dar-es-salaam na Tanzania!
Hizi ni akili za kiwendawazimu na uzezeta mkubwa! Tumeona China, Italy, Spain na Sasa Marekani watu wanateketea! Kama ni kunyunyizia dawa mbona Corona ingeliishia hukohuko?
Mbona ule mradi wa kuzuia Malaria kwa kunyunyizia dawa ili kuua mazalia ya Mbu upo miaka yote na Malaria inaendelea kuua Watz? Seuze Corona na kupulizia? It's purely Absurdity and Non-sense!!
 
Back
Top Bottom