mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
serikali iondoe kodi zote kwa miezi mitatu. tuna akiba ya pesa za kigeni ya kutosha miezi sita. huwezi kukusanya kodi katika mazingira haya.TRA wapunguze tozo zote kwa mwezi April, May, June ili wanachi waeze kumudu manunuzi ya vitu muhimu kwa ajili ya matumizi ya nyumbani tuuuuu 🙌 🙌🍷
Bodaboda na Bajaji kupeleka na kutoa Abiria mjini ni Janga lingine. Watu watakufa Kwa Ajali. Zilizuiwa Kwa Nia nzuri tuu.RC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri.
Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la usafi.
Wakati huo huo, Paul Makonda leo April 1, 2020 ameruhusu Bajaji na Bodaboda zote kuingia katikati ya Jiji hilo ili kukabiliana na Adha ya Usafiri wanayokabiliwa wananchi katika kipindi hiki cha kupambana na Ugonjwa wa #Corona.
Makonda ameruhusu bodaboda na bajaji kuingia katikati ya Jiji
Makonda amewataka wenye nyumba za kupanga kupunguza kodi kwa 50%
Makonda amesema yeye hana mamlaka ya kuwaamuru Mwendo kasi hilo ni jukumu la waziri Jaffo
Wasiokuwa na shughuli za maana basi wabaki majumbani wasizurure hovyo.
Kama huna safari ya lazima kwenda mkoani basi usisafiri na kama uko mkoani usije Dar kama huna sababu za msingi.
View attachment 1405771
Amesema Ndege moja ya Ethiopia inaingia kwa ajili ya watanzania ambao wanahitaji kurudi nyumbani ,sasa wakishaingia watafikia karantini kwa ajili ya uangalizi kwa hiyo mtu yeyote asiende Uwanja Wa Ndege watapokelewa na ofisi ya Mkoa na kupelekwa Karantini kwa siku 14.
“Mungu akipenda tutakuwa na helkopta zitapita kumwaga dawa za kuua wadudu na gari pia zitapita kila sehemu nitatumia mamlaka yangu kufanya kazi". Amesema RC Makomda
Sawa Lemutuz, tumekusikia.RC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri.
Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la usafi.
Wakati huo huo, Paul Makonda leo April 1, 2020 ameruhusu Bajaji na Bodaboda zote kuingia katikati ya Jiji hilo ili kukabiliana na Adha ya Usafiri wanayokabiliwa wananchi katika kipindi hiki cha kupambana na Ugonjwa wa #Corona.
Makonda ameruhusu bodaboda na bajaji kuingia katikati ya Jiji
Makonda amewataka wenye nyumba za kupanga kupunguza kodi kwa 50%
Makonda amesema yeye hana mamlaka ya kuwaamuru Mwendo kasi hilo ni jukumu la waziri Jaffo
Wasiokuwa na shughuli za maana basi wabaki majumbani wasizurure hovyo.
Kama huna safari ya lazima kwenda mkoani basi usisafiri na kama uko mkoani usije Dar kama huna sababu za msingi.
View attachment 1405771
Amesema Ndege moja ya Ethiopia inaingia kwa ajili ya watanzania ambao wanahitaji kurudi nyumbani ,sasa wakishaingia watafikia karantini kwa ajili ya uangalizi kwa hiyo mtu yeyote asiende Uwanja Wa Ndege watapokelewa na ofisi ya Mkoa na kupelekwa Karantini kwa siku 14.
“Mungu akipenda tutakuwa na helkopta zitapita kumwaga dawa za kuua wadudu na gari pia zitapita kila sehemu nitatumia mamlaka yangu kufanya kazi". Amesema RC Makomda
Atawalipia mikopo ya benki?Wenye nyumba za kupanga kupunguza kodi 50%? Kuna ka stimulus package?
Utaambiwa bora kufa kwa ajali kuliko nini sijui! Hapo mtu uambukizwe corona halafu upate nayo ajali uvunjike paja. Balaa la balaaBodaboda na Bajaji kupeleka na kutoa Abiria mjini ni Janga lingine. Watu watakufa Kwa Ajali. Zilizuiwa Kwa Nia nzuri tuu.
Ndege wafananao huruka na kuteteana na au hula chakula kinachofanana! Jipongezeni kwa kueneza korona na mikuanyiko yenu batili! Najua umeelewa!Kunawatu wamenuna, Lakini chaguo ni Lao, hutaki kusikia habari zake, Jitundike yanini kuteseka!!?
Hilo la bodaboda kuingia katikati ya jiji tusubiri kuona ongezeko la uporaji wa mikoba ya wanawake na mabegi ya waenda kwa miguuRC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri.
Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la usafi.
Wakati huo huo, Paul Makonda leo April 1, 2020 ameruhusu Bajaji na Bodaboda zote kuingia katikati ya Jiji hilo ili kukabiliana na Adha ya Usafiri wanayokabiliwa wananchi katika kipindi hiki cha kupambana na Ugonjwa wa #Corona.
Makonda ameruhusu bodaboda na bajaji kuingia katikati ya Jiji
Makonda amewataka wenye nyumba za kupanga kupunguza kodi kwa 50%
Makonda amesema yeye hana mamlaka ya kuwaamuru Mwendo kasi hilo ni jukumu la waziri Jaffo
Wasiokuwa na shughuli za maana basi wabaki majumbani wasizurure hovyo.
Kama huna safari ya lazima kwenda mkoani basi usisafiri na kama uko mkoani usije Dar kama huna sababu za msingi.
View attachment 1405771
Amesema Ndege moja ya Ethiopia inaingia kwa ajili ya watanzania ambao wanahitaji kurudi nyumbani ,sasa wakishaingia watafikia karantini kwa ajili ya uangalizi kwa hiyo mtu yeyote asiende Uwanja Wa Ndege watapokelewa na ofisi ya Mkoa na kupelekwa Karantini kwa siku 14.
“Mungu akipenda tutakuwa na helkopta zitapita kumwaga dawa za kuua wadudu na gari pia zitapita kila sehemu nitatumia mamlaka yangu kufanya kazi". Amesema RC Makomda
Mbona unateseka mkuu, Wakati kwenu hakuna hata mmoja aliyeathirika? Wakati huohuo unataka idadi ya walioambukizwa serikali iseme ni wengi?Ndege wafananao huruka na kuteteana na au hula chakula kinachofanana! Jipongezeni kwa kueneza korona na mikuanyiko yenu batili! Najua umeelewa!
Tatizo hao sio misukule Kama ya ufipa ni binadamu ndio wanamsikiliza tofauti na wewe msukule uko nyumba ya keyboards unaropoka hovyo hovyoSina shida na mkusanyiko wa huyu bwege nina shida na hao wanaokusanyika walitakiwa wamwache hapo abaki na ulimi wake anaoongea nao wa kila 120 na yale makalio makubwa utadhani mvaa sket na tight
Acha usukule wako wa kifipa unajua Nini wewe tarumbeta la mboweZero Brain,,, Hili la kupunguza mikusanyiko mkuu wetu halijamuingia au...???
Kwanini asiwaite waandishi kadhaa then aseme neno,, taarifa siku hizi zinafika haraka sana mbona....
Nitakujibu baada ya wiki mbili haya maswali yako.Mbona unateseka mkuu, Wakati kwenu hakuna hata mmoja aliyeathirika? Wakati huohuo unataka idadi ya walioambukizwa serikali iseme ni wengi?
utajuaje wakati mligawana,lazima uwe kiziwi
Labda misukule ya ufipa ndio watakao kimbia ila binadamu anae jitambue akimbie kwa lipi kwa mfanoHuyu jamaa ni wa kupuuza na anapoitisha mkusanyiko inatakiwa watu wakimbie. Wakikaa kusikiliza ujinga wake anajiona ana akili na kumbe hana. Kupuliza dawa haisaidii hata kidogo kama mikusanyiko isiyo na umuhimu kama huo ulioutengezea inaendelea! Ni Mungu tu wakutuepushe lakini mwezi ujao tunaweza kuwa na kipindi kibaya sana katika historia ya nchi yetu. Hii corona siyo ya kuifanyia usanii wa kijinga namna hii.
Acha uzuzu wako wa kifipa Kama huna hoja usipayuke hovyo hovyo Bora ukamliwaze mumeo tu kuliko kutuletea usukule humuDogo gani huyu ilhali Ni MTU MZIMA HOVYO?
Kuna watu wanamhusudu Makonda kwa vile anatumia MAKALIO makubwa kuwaza.....!!! Nasistiza tena, MAKALIO MAKUBWA KUWAZA......!!