RC Makonda atembelea kituo cha daladala Makumbusho. Ahimiza usafi, aruhusu bodaboda, Bajaji kuingia mjini

We mbwiga Bodaboda hazijaruhusiwa kupunguza maambukizi bali kukabili tatizo la usafiri katikati ya mji baada ya agizo la magari kupakia level seat.

 
Makonda anautoto wa kimawazo hivi watu mnamkataba alafu useme eti kodi ipunguzwe nusu utajazia Wewe hiyo nusu iliyobaki? Vipi na chakula kiuzwe nusu bei basi, nauli nazo ziwe nusu nk. Ujinga ujinga!!
 
We mbwiga Bodaboda hazijaruhusiwa kupunguza maambukizi bali kukabili tatizo la usafiri katikati ya mji baada ya agizo la magari kupakia level seat....

Wewe ni mburulas tu huna lolote. Unachopinga hapa ni kitu gani?

According to Makonda mantiki ya kuruhusu Bodaboda kuingia mjini ni kukabiliana na tatizo la Usafiri lilosababishwa na CORONA Virus!

Usicho elewa ni nini hapo?

Rais M-7 wa Uganda amepiga marufuku hata Bodaboda kubeba abiria nchini Uganda halafu mwendawazimu mmoja hapa Dar anaona kutumia Boda ni big deal ya kupambana na Covid-19.Inept!!
 
Pumbavu,

Chuki itakuponza. Makonda anashughulika na changamoto ya usafiri kufuatia makatazo mbalimbali yaliyowekwa kwenye usafiri wa umma.

 
Analeta misongamano .Hatudanganyiki
 
Makonda anautoto wa kimawazo hivi watu mnamkataba alafu useme eti kodi ipunguzwe nusu utajazia Wewe hiyo nusu iliyobaki? Vipi na chakula kiuzwe nusu bei basi, nauli nazo ziwe nusu nk. Ujinga ujinga!!

Kama Makonda anaona kupunguza Kodi za nyumba, fremu za biashara au Bei a vyakula aanze na MSHAHARA WAKE alipwe NUSU na amwambie Rais Jiwe apunguze VAT na PAYE by 50% hapo tutakuwa tunaongea lugha moja.....Vinginevo anabwabwaja tu kama korofindo kujitafutia umaarufu wa kitoto....!!
 
Pumbavu,

Chuki itakuponza. Makonda anashughulika na changamoto ya usafiri kufuatia makatazo mbalimbali yaliyowekwa kwenye usafiri wa umma.

We ni Pumbavu Waheed unayetetea Upumbavu. Iwe ni changamoto ya Usafiri, Kodi za nyumba, etc, the main agenda hapa Ni Covid-19...! Usitake kuwaondoa watu kwenye reli..!Kwa akili zenu na Makonda wako unafikiri Boda ndo suluhisho la Usafiri Dar? Hivi unajua maana ya Social Distance Kati ya mtu na mtu ili kuzuia maambukizi ya Covid-19? Kuna umbali gani kati ya Boda driver na Abiria wake?We ni bonge la Kilaza!
 
Hii ndio tabu ya kujadiliana na malofa. Kila jambo analipachika kwa anayemchukia tena kwa kulazimisha.

 
Hii ndio tabu ya kujadiliana na malofa. Kila jambo analipachika kwa anayemchukia tena kwa kulazimisha.
Lofa mkubwa ni weye unayemshabikia Makonda hata kama anaongea pumba na kutoa maelekezo ya kipuuzi kutaka kuwaangamiza Wana Dar na Watz wote kwa ujumla wake..!
CHUKI anayo jamaa yako Makonda mpuuzi mkubwa asiye zingatia maadili ya kikazi na Kiafya kiasi Cha kuanza kutaja majina ya wagonjwa wa Corona hadharani kwa CHUKI za kijinga...!
Shame on you!
 
Tulia dawa ikuingie wewe, acha kukuru kakara...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…