RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Makonda hana ubavu wa kumkamata mbunge yeyote yule!

Anachofanya ni kuwajambisha tu, alafu nq wao eti wanajamba, hapo ndio ajabu ilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe aliwaambia hao wabunge wasitoke nje ya dodoma! Sasa alichofanya Makonda ni kuwachokonoa kila mtu ajue walipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau..

Makonda amewatingisha kidogo.. kwamba mbunge akikamatwa dar ni mzurulaji.. kina zitto wanalalamika..

Mbunge wa kigoma unalalamikia dar ni aibu
 
Misukule tu ndio haitakuelewa
 
The wages of sin is death. Kidogo tu hii dhambi ya dharau itazaa mauti, wapendwa tusidanganywe mpenda dhambi ni mtumwa wa dhambi.
 
Kwani hao wabunge wamezuia bunge kuendelea?Mbona mnaotaka warudi mna hasira sana??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tanzania tulikosea wapi. ??

I'm on that good kush and alcohol
Tokea zamani sana..kutawaliwa na waingereza alaf nchi siyo inayoongea kiingereza.. mm naona tulianza kukosea apa mpka leo hii..

#jifukize tu hamna namna yani
 
I wish ningekuwa mbunge ningeeda Dar nikamatwe nione nikifikishwa maakamani nafunguliwa kesi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana haujawa mbunge kwa sababu una fikra mbovu sana...yani uache bunge uje kuona ukikamatwa nini kitatokea....


Ni utani tu


Ndo maana watu walikua wanasema Tz ikipigwa lockdown wananchi watatembeatembea nje kuangalia kama nchi kweli ipo lockdown


Nikimaliza kujifukiza nitarudi
 
Makonda wala hakuwa na nia ya kuwakamata hawa wabunge yy lengo lake LA kuwapanikisha limefaulu

Nimesikia Leo kila mbunge ametaja aliko mm nilijua wanejiquarantine Dodoma kumbe kweli wanazurura DSM..

Wao walimkosoa sana Rais kukaa Chato lakini nimewasikia Leo wakisema wako huru kukaa sehemu yoyote Tanzania

Lakini pia Makonda alitaka tu kuwaonyesha watu kuwa hawa jamaa zetu hawako Dodoma kama walivyodai

Makonda ametimiza lengo lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…