aztec
JF-Expert Member
- Sep 7, 2018
- 390
- 248
Bado nachekaThis is why i love my country and my continent [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii nchi hata kama una hasira utacheka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado nachekaThis is why i love my country and my continent [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii nchi hata kama una hasira utacheka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujui kitu funga mdomo wako kama chupi iliopwaya n sheria gani inayomruhusu mbunge kuingia bungen kwa nguvu?Ni mamlaka gani hasa alionayo RC kuwacomand wabunge kutekeleza majukum yao ilihali mbunge mwenyewe yampasa kuelewa majukum alotumwa na wapga kura wake?ambao kimsing ndo Ma boss wake no research no right to speak tatizo moja watu kama nyie ndo mna akili fupi kama umeme wa LUKU #Waziri wa Kaskazini#Mh: Paul Makonda he was right...
Safi sana, warudi bungeni au wafutiwe ubunge.. Speka wa Bunge hapa ndiyo unapo takiwa kufanya great job
Huyu mkongwe sana sio mwanafunzi mkuu.
Ila sikubaliani na logic yake,Mkuu wa mkoa hawezi kuropoka statements kama zile kimasihara kama anavyotuaminisha mtoa mada.Anataka kumsafisha Makonda mana anajua amekwisha feli kwenye kusudio lake.CHEZEA BITI LA ZITTO KABWE wewe!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan aliyeko chatle yeye hajakimbia majukum tena bora huyo wa jimbon kuliko wa taifa Yan n sawa na uwe na wazazi wakutelekeze na yeye tunaomba RC wa hko aliko amwambie arudi dsm sababu anazurura. Asumme ingekua vita alafu atukimbie useme uzalendo uzalendo huo wa kwenda kujificha Kwioooo! digba soweyNi sahihi kabisa ,haiwezekani sisi raia tumewatuma watuwakilishe harafu wanakimbia bunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Na alie Geita vip tumuombe RC wa hko amrudishe dsm likizo hyo vip mpka sa hv likizo Kwiooooo!@BUBERWA DWabaki ndani huko Dodoma kama walivyokubaliana. Kwanini waende kuzurura Dar?
Usisopiga wewe watapiga wengine wewe wewe endelea kupiga nyungu na tunguli [emoji1787][emoji23]kalisheshe
Wewe nawe ushazoeleka kuandikakaga Uharo tu.Tushakuzoea sisi wananchi wengine haituumi tumewaruhusu na posho ww endelea kupiga nyunguKiukweli nimesikitika sana wabunge wa Chadema kukimbia majukumu yao ya kibunge kama walivyotumwa na Wananchi
Kwa kisingizio cha corona
Walitudanganya wanaenda kujifungia kwa siku 14 matokea yake wanahudhuria kwenye kumbi za starehe dar
Hivi Watanzania tulilogwa na nani kuchagua watu km hawa?
Sisi wapiga kura tunapambana mtaani wao wamekimbia majukumu ya kibunge wanakula bata?
Makonda wape masaa sita warudi Dodoma hao, masaa 24 ni mengi sana
Yani bashite anauwezo wakumpanikisha binadamu yeyote mwenye akili timamu?
Sijakuelewa..
View attachment 1442226
Unamaana Mkuu wa mkoa/wilaya husika ashike wazururaji chato pia ama? Karantini unaweza kwenda kukaa popote upendapo saa yoyote.
Ajabu mkuu wa mkoa anataka kukamata wabunge kama akamatavyo Changudoa na Spika hakemei kauli hiyo. Bunge linapoteza hadhi na wakibaki kijani ndipo hatutakuwa namuda nalo kabisa!!
Walimu kibao hawajalipwa malimbikizo ya mishahara wao wanalipana mamilioni in advance na wanakuja kudaiana kwenye media, hawaoni aibu kubishana kama watoto
Hahahaha well said!/saafi kabisaUnamaana Mkuu wa mkoa/wilaya husika ashike wazururaji chato pia ama? Karantini unaweza kwenda kukaa popote upendapo saa yoyote.
Ajabu mkuu wa mkoa anataka kukamata wabunge kama akamatavyo Changudoa na Spika hakemei kauli hiyo. Bunge linapoteza hadhi na wakibaki kijani ndipo hatutakuwa namuda nalo kabisa!!
Walimu kibao hawajalipwa malimbikizo ya mishahara wao wanalipana mamilioni in advance na wanakuja kudaiana kwenye media, hawaoni aibu kubishana kama watoto
BabalaoKawajambisha wabunge wa chadema wakaanza kujitaja mmoja mmoja walipo huko mitaani wanapo zurura wakati waliwadanganya wapiga kura wanaenda kukaa karantini kweli makonda baba lao
Umaskini mbaya sana,Fanya kazi mkuuKawajambisha wabunge wa chadema wakaanza kujitaja mmoja mmoja walipo huko mitaani wanapo zurura wakati waliwadanganya wapiga kura wanaenda kukaa karantini kweli makonda baba lao