RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Mh: Paul Makonda he was right...

Safi sana, warudi bungeni au wafutiwe ubunge.. Speka wa Bunge hapa ndiyo unapo takiwa kufanya great job
Wewe hujui kitu funga mdomo wako kama chupi iliopwaya n sheria gani inayomruhusu mbunge kuingia bungen kwa nguvu?Ni mamlaka gani hasa alionayo RC kuwacomand wabunge kutekeleza majukum yao ilihali mbunge mwenyewe yampasa kuelewa majukum alotumwa na wapga kura wake?ambao kimsing ndo Ma boss wake no research no right to speak tatizo moja watu kama nyie ndo mna akili fupi kama umeme wa LUKU #Waziri wa Kaskazini#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mkongwe sana sio mwanafunzi mkuu.
Ila sikubaliani na logic yake,Mkuu wa mkoa hawezi kuropoka statements kama zile kimasihara kama anavyotuaminisha mtoa mada.Anataka kumsafisha Makonda mana anajua amekwisha feli kwenye kusudio lake.CHEZEA BITI LA ZITTO KABWE wewe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mtu mzoefu ndo asapoti ujinga ule?Is this a great thinker?
 
Ni sahihi kabisa ,haiwezekani sisi raia tumewatuma watuwakilishe harafu wanakimbia bunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan aliyeko chatle yeye hajakimbia majukum tena bora huyo wa jimbon kuliko wa taifa Yan n sawa na uwe na wazazi wakutelekeze na yeye tunaomba RC wa hko aliko amwambie arudi dsm sababu anazurura. Asumme ingekua vita alafu atukimbie useme uzalendo uzalendo huo wa kwenda kujificha Kwioooo! digba sowey

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*"Hongera Mh. Paul Makonda (Mkuu wa mkoa) kwa kuwatimua wazurulaji Jijini D'salaam ili warudi kwenye kituo chao Cha Kazi Jijini Dodoma,*

*Taifa limehamishia masikio kwa Mkuu wa Mkoa wa "Geita" kujua mzurulaji aliyeko Chato anapewa masaa mangapi kurudi ofisini kwake jijini D'salaam "*

_________

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli nimesikitika sana wabunge wa Chadema kukimbia majukumu yao ya kibunge kama walivyotumwa na Wananchi
Kwa kisingizio cha corona

Walitudanganya wanaenda kujifungia kwa siku 14 matokea yake wanahudhuria kwenye kumbi za starehe dar

Hivi Watanzania tulilogwa na nani kuchagua watu km hawa?

Sisi wapiga kura tunapambana mtaani wao wamekimbia majukumu ya kibunge wanakula bata?

Makonda wape masaa sita warudi Dodoma hao, masaa 24 ni mengi sana
Wewe nawe ushazoeleka kuandikakaga Uharo tu.Tushakuzoea sisi wananchi wengine haituumi tumewaruhusu na posho ww endelea kupiga nyungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawajambisha wabunge wa chadema wakaanza kujitaja mmoja mmoja walipo huko mitaani wanapo zurura wakati waliwadanganya wapiga kura wanaenda kukaa karantini kweli makonda baba lao
 
Makonda siku hizi kazi yao imekuwa nyepesi daladala ni level sit, adi rahaaaaaa
 
Unamaana Mkuu wa mkoa/wilaya husika ashike wazururaji chato pia ama? Karantini unaweza kwenda kukaa popote upendapo saa yoyote.

Ajabu mkuu wa mkoa anataka kukamata wabunge kama akamatavyo Changudoa na Spika hakemei kauli hiyo. Bunge linapoteza hadhi na wakibaki kijani ndipo hatutakuwa namuda nalo kabisa!!

Walimu kibao hawajalipwa malimbikizo ya mishahara wao wanalipana mamilioni in advance na wanakuja kudaiana kwenye media, hawaoni aibu kubishana kama watoto
 
Yani bashite anauwezo wakumpanikisha binadamu yeyote mwenye akili timamu?
Sijakuelewa..
FB_IMG_1580721391281.jpg
 
Unamaana Mkuu wa mkoa/wilaya husika ashike wazururaji chato pia ama? Karantini unaweza kwenda kukaa popote upendapo saa yoyote.
Ajabu mkuu wa mkoa anataka kukamata wabunge kama akamatavyo Changudoa na Spika hakemei kauli hiyo. Bunge linapoteza hadhi na wakibaki kijani ndipo hatutakuwa namuda nalo kabisa!!
Walimu kibao hawajalipwa malimbikizo ya mishahara wao wanalipana mamilioni in advance na wanakuja kudaiana kwenye media, hawaoni aibu kubishana kama watoto

Una elimu gani?

Haujaelewa post bana
 
Hahahaha well said!/saafi kabisa
 
Kawajambisha wabunge wa chadema wakaanza kujitaja mmoja mmoja walipo huko mitaani wanapo zurura wakati waliwadanganya wapiga kura wanaenda kukaa karantini kweli makonda baba lao
Umaskini mbaya sana,Fanya kazi mkuu
 
Back
Top Bottom