RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kujua ni kwamba, kwa wakati huu, wabunge walitakiwa kukutana kimtandao kutoka popote nchini.

Kujazana bungeni wakati Covid-19 ishaingia bungeni ni ujuha mkubwa sana.
Vinginevyo waturudishie Tablets tulizowanunulia,wanaangalia nazo YouTube videos?
 
Makonda is just a Clown. Nakunywa supu ya pweza hapa home
 
Zamani tuliona wabunge ni watu wa heshima, waheshimiwa, watunga sheria, wasimamizi wa serikali. Lakini sasa tunaona ni washikaji fulani tu, wanaweza kukamatwa wakapokea kipigo, wakaburuzwa na kuvunjwa mikono. Kwa kifupi, sasa mkuu wa mkoa ana nguvu kuliko wabunge, ndio maana sasa wamefananishwa na machangudoa
 
Vinginevyo waturudishie Tablets tulizowanunulia,wanaangalia nazo YouTube videos?
Kama Spika hajaruhusu vukao vya bunge kuenda kimtandao, hutakiwi kumtaka mbunge arudishe tablet kwa sababu hayupo bungeni.

Tablets kurudisha au kutorudisha si hoja. Mimi naweza kuwanunulia wabunge wote tablets.

Cha muhimu ni ufanisi.

Kwa sasa, tunataka wabunge walundikane bungeni na kuambukizana magonjwa?

Hawa ni ndigu zetu, Watanzania wenzetu pia.

Tunataka wafe?

Spika mwenyewe anathamini maisha yake?

Tatizo kubwa naliona Watanzania hatuthamini maisha ya mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu cha ajabu kabisa Spika anashangilia udhalilishaji huu kwa wabunge....Wabunge wa Bunge Tanzania kwa jumla wenu mjitafakari sana, yaan mpo level moja na machangu hawa wa mabarabarani mitaa ya Sinza, Mwananyamala na Buguruni.

Oohhh no no nooo
 
Hao speaker Job atadeal nao perpendicular
 
Zitto domo kaya hujawahi tupwa lupango. Wee ropokaga tu ila sitegemei kina mdee na bulaya kukaribisha ugomvi usiyokua lazima na dola..
 
Kazi kweli kweli, kuishi tz raha tupu. Teh teh teh, hii si sawa na kusema rc kailockdown dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…