Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivi BBC ihangaike na Makonda ambaye hatakiwi kukanyaga ubalozi wowote ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule alisha tengwa na dunia, hivyo hana sifa ya kuzungumza na combo kama BBCndio kusema hiki chombo cha habari maridhawa na cha uhakika Duniani kishamdharau huyu zero brain wa jiwe au?
ila huyu makonda hana hata sifa ya kuwa mtendaji wa kata,
lkn ndio RC Dar.
dunia haina huruma,
Sent using Jamii Forums mobile app
He does not have the capacity to answer questions from BBC may be?ndio kusema hiki chombo cha habari maridhawa na cha uhakika Duniani kishamdharau huyu zero brain wa jiwe au?
ila huyu makonda hana hata sifa ya kuwa mtendaji wa kata,
lkn ndio RC Dar.
dunia haina huruma,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi BBC ihangaike na Makonda ambaye hatakiwi kukanyaga ubalozi wowote ?
Naunga mkono hoja kwa 100%He does not have the capacity to answer questions from BBC may be?
Mwenyekiti kajificha chato mwambieni arudi ofisini,afanya waliomtuma watz sio kukimbia mana anaisha na kula bure kwa kodi zetuHii haibadili uhalisia kua wabunge wa chadema wamekimbia bungeni tena kipindi karibiana uchaguzi mkuu, sasa naona mnatumia nguvu sana kuficha makosa ya mwenyekiti wenu.
Makonda anaonyesha taswira ya MagufuliUshawahi kuona kwenye familia kuna toto jizi,limefeli shule,linamuingiza baba kwenye ugomvi na majirani lakini bado baba analipenda kuliko watoto wote na lenyewe linatambua hilo na linazidisha vituko
Huku Ccm ni kikundi cha majangiri wa wanyamaporiChadema ni kikundi cha wahuni wanafanya maamuzi kwa hoja za kudandia!
Wanakukereni kwani simmebaki wenyewe pitisheni bajeti yenu au hamridhiki mpaka mabwana zenu wawepo?Halafu wanazurura mitaani na kushinda kwenye mabara
Sio kuvamia bali kuhamia kabisa IkuluKwa mfumo huu ipo siku atavamia ikulu kwa kudhani jamaa ameamia chato.
Sent using Jamii Forums mobile app