RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

ndio kusema hiki chombo cha habari maridhawa na cha uhakika Duniani kishamdharau huyu zero brain wa jiwe au?
ila huyu makonda hana hata sifa ya kuwa mtendaji wa kata,
lkn ndio RC Dar.
dunia haina huruma,



Sent using Jamii Forums mobile app
Yule alisha tengwa na dunia, hivyo hana sifa ya kuzungumza na combo kama BBC

In God we Trust
 
Watanzania kuwatoa kwenye reli ni rahisi mnoooooo!!!! Mnajadili jambo lisilowezekana! Kwani mbunge analazimishwa kuingia bungeni? Kaamua kuharb mind zenu tuu na ninyi mnaitikiaaaaaaà!
 
Viongozi wengi wa Serikli wakipigiwa simu na vyombo kama BBC hawapokei simu
 
Ushawahi kuona kwenye familia kuna toto jizi,limefeli shule,linamuingiza baba kwenye ugomvi na majirani lakini bado baba analipenda kuliko watoto wote na lenyewe linatambua hilo na linazidisha vituko
Makonda anaonyesha taswira ya Magufuli
 
Siamini Makonda kama kweli alikuwa na nia yoyote ya kuwasaka hawa viumbe.
Alichotaka ni tujue kwa sasa wako wapi.

Kwa Zitto Kabwe tulikuwa tunajiuliza alipo maana tulikuwa tunamuona fb na twitter. Wengine wakasema yupo Dodoma, wengine wakasema hapana yupo Kigoma hasa kipindi kile alichotaka Magufuli aje ikulu ya Dar. Kumbe nae hayupo ofisini(jimboni) wala bungeni hayupo.
Tulidhani anasaidia wapiga kura wake kuwapa elimu ya kujikinga na covid 19 kwa kuwakumbusha kufuata miongozo ya wataalam huko jimboni. Kumbe kelele zote ni sababu kakaa tu dar hana kazi ya kufanya. Kweli huyu wa kumpuuza.

Haya hao kina Mdee waliondoka bungeni wakatuambia watakaa dodoma kwa ajili ya kujikarantini. Kumbe wapo Dar. Asingesema Makonda tusingejua. Ndio maana kina Silinde wakaona ni upuuzi. Unakimbia bungeni uje kula bata Dar. Bulaya alisema wabunge wajiudhuru nyadhifa zao kwa sababu wamekiuka maafikiano. Maafikiano ilikuwa kuwepo Dodoma, mbona wao wapo Dar. Nao wajiudhuru sasa. Kweli Chadema hii ya kina bulaya inachungulia shimo.

Hawa nao ni wa kuwapuuza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom