RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

huyo soudy ange ongea chochote tupate mwanga maana kila mtu ana habari zake
 
Habari kama hizi za kichochezi na za uzushi ndizo zinazotuponza wanaJf mbona tuliokuepo mjengoni mda huo hatujasikia lolote na hakuna chochote kilichotokea.

Au umetumwa?
Clouds ni taasisi kubwa inayoongozwa kwa misingi na taratibu zake haiwezekani mtu from no where aje tu aingie mpaka peoduction bila kufata utaratibu!

Acha uzushi watanzania puuzeni hizi taarifa si za kweli!!.

Bado unaona ni habari za uzushi?
 
Walioenda koromije waanze kurudi, mtu wao hasafishiki.....
 
Faiza unalizungumziaje hili la bashite kuvamia studio za clouds?..kwa mujibu wa "video clip"..iliyopo humu jamvini.

Hiyo video clip niliyoyaona ni fupi sana na inaonesha watu wawili na askari wawili.

Sioni uvamizi wowote hapo.
 
Habari kama hizi za kichochezi na za uzushi ndizo zinazotuponza wanaJf mbona tuliokuepo mjengoni mda huo hatujasikia lolote na hakuna chochote kilichotokea.

Au umetumwa?
Clouds ni taasisi kubwa inayoongozwa kwa misingi na taratibu zake haiwezekani mtu from no where aje tu aingie mpaka peoduction bila kufata utaratibu!

Acha uzushi watanzania puuzeni hizi taarifa si za kweli!!.
Haya sasa wewe uliyejifanya mfanyakazi wa Clouds, umeona clip ya CCTV? Acha ujinga bana
 
Hapana.

Utakuwa ni mpumbavu kabisa ukidhani kuwa kwa vile tu na yeye ni Msukuma basi anawakilisha Wasukuma wote na kwamba kila afanyacho kinahusu Wasukuma wote.

Mimi huyo mtu simjui na yeye hanijui.

Hanipi hata senti moja ya ujira wake.

Sasa anatutia aibu kivipi wakati yeye ni mtu binafsi na kila Msukuma ni mtu binafsi?

Kudhani hivyo ni akili za kiju.ha kabisa.

Yeye siyo balozi wa Wasukuma. Iweje sasa kila afanyayo yanitie aibu mtu huru kama mimi?

Nyie ndo watu mnaotazama mambo kupitia tundu la ukabila na ndo maana mmeshaanza kulia lia kuhusu mambo ya ukabila.

Kwa hiyo hapana. Mimi hanitii aibu hata kidogo. Simjui hanijui.

Kama anafanya mambo ya kutia aibu basi anajitia aibu yeye mwenyewe na labda mtu au watu waliomweka kwenye hiyo nafasi alonayo.

Tafadhali usinihusishe kabisa na mambo afanyayo huyo mtu. Mimi najielewa kupita kiasi na najiwakilisha mwenyewe.

Siwakilishi mtu mwingine [ukiacha mwanangu na familia yangu ya karibu] na siwakilishwi na mtu ukiondoa hao hapo niliowataja kwenye mabano.

Nyani majibu yako huwa ni ya mistari miwili mitatu. Mbona hili umelia hivi?? sio jiwe la utosi kweli
 
Hiyo video clip niliyoyaona ni fupi sana na inaonesha watu wawili na askari wawili.

Sioni uvamizi wowote hapo.

Hata mimi sijaona uvamizi wowote ule hapo.

Unless labda neno uvamizi lina maana tofauti siku hizi.
 
Yaani ishu ndogo ameikuza imekuwa kubwa si angepeleka vyeti ili waumbuke tu
 
daah ila huyu ma!nge aombage asije kukama.twa akiwa hai aisee make raia nahisi watamch!una ngo!zi na watalazimisha kuivaa mbele yake, sio kwa upumb.avu anaoufanya
Mie nahisi ni hazina kwa umma wa Tanzania atusaidie kujua alipo Ben Sanane maana anavyanzo vingi vya taarifa
 
Back
Top Bottom