RC Makonda awasimamisha Kazi watumishi 13 Arumeru kwa ubadhirifu wa tsh million 600, yumo Mganga mkuu wa Halmashauri!

RC Makonda awasimamisha Kazi watumishi 13 Arumeru kwa ubadhirifu wa tsh million 600, yumo Mganga mkuu wa Halmashauri!

Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600

Source Mwananchi

Vijana Msilale bado Mapambano 😂🔥
Hayo mamlaka kaatoa wapi?

Amandla...
 
Muulize hilo swali mke wa Ben Sanane akikujibu muulize na Roma msanii aliyekimbilia Marekani. Halafu muulize na aliyekuwa mkuu wa CIA na waziri wa mambo ya nje wa Marekani alimainiaha nn kusema Bashite ananyima watu haki ya kuishi
Unatak na mm nkupe orodha ya watu waliosaidiwa na Bashite !? Ww umenitajia idadi ya watu wa 4 tu ety nkawaulze na mm nakwambia nenda Arusha sshv ukamseme vby Makonda, afu urudi hapa na kauli zako za waumizwaji 😅😁 ni bora afe mpumbavu mmoja kuokoa maelfu ya waerevu.
 
Back
Top Bottom