Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM imebeba takataka tupuMkuu watu wanaleta ushabiki wa vyama, Chadema, CCM, TLP etc, kote Kuna watu wazuri, changamoto ni kiongozi, au viongozi waliopo juu kwenye hicho chama ndo tatizo linapoanzia.
Upo sahihi kabisaForce account Dr wanajenga zahanati na hospital...wanavurugwa sana baadae wanaambiwa wameiba....
Upo sahihi huwezi kuona amesaini barua za kusimamisha watumishiMkuu wa mkoa hana mamlaka yoyote kumsimamisha kazi mtumishi wa umma. Rejeeni sheria ya utumishi wa umma na kanuni zake za mwaka 2022
Ni wazi kabisa hii hela wamekula watu wengine, lakini hawa ndio wameangushiwa jumba bovuForce account Dr wanajenga zahanati na hospital...wanavurugwa sana baadae wanaambiwa wameiba....
Hayo mamlaka kaatoa wapi?Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600
Source Mwananchi
Vijana Msilale bado Mapambano ππ₯
Unatak na mm nkupe orodha ya watu waliosaidiwa na Bashite !? Ww umenitajia idadi ya watu wa 4 tu ety nkawaulze na mm nakwambia nenda Arusha sshv ukamseme vby Makonda, afu urudi hapa na kauli zako za waumizwaji π π ni bora afe mpumbavu mmoja kuokoa maelfu ya waerevu.Muulize hilo swali mke wa Ben Sanane akikujibu muulize na Roma msanii aliyekimbilia Marekani. Halafu muulize na aliyekuwa mkuu wa CIA na waziri wa mambo ya nje wa Marekani alimainiaha nn kusema Bashite ananyima watu haki ya kuishi