Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema katika mkoa wake waliamua kuifanya ajenda ya barabara kuwa kipaumbele kuanzia kwa kiongozi ngazi ya chini hadi wa juu.
Makonda ametoa kauli hiyo jana Jumamosi Aprili 26, 2025, wakati wa maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika katika viwanja vya Soko la Kilombero, mbele ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko.
Atwambie depo ya mafuta kule KIGAMBONI kaipataje? Kapata wapi mtaji wa kuagiza na kusafirisha mafuta ikiwa yeye ni kiongozi wa umma tena aside hata na miaka 10 kwenye utumishi?
Hawa kina FAROUK na NEILESHI Ana husiana nao vipi?