Sijapata iyo notification mchuchu,. inaweza kuwa na yeye niwa Compton. I'd yangu ya pili ile nimesahahu passwordKuna sehemu nimekumention nimekutana na mtu kaweka avatar kama yako nilijua I'd yako ya pili [emoji1787]
Ebu shangaaHio hasara atalipa nani sasa?
Ila hiyo I'd ni ya kihenga nikakumbuka ulishawahi niambia hahahahaha thread hapahapa habari na hoja mtu kaibiwa vifaa vya gariSijapata iyo notification mchuchu,. inaweza kuwa na yeye niwa Compton. I'd yangu ya pili ile nimesahahu password
HATERS MTAKUFA NA KIJIBA CHA ROHO......Kuna shule nyingi sasa walimu wanakaa kwenye ofisi rasmi sio darasa lililogezwa ofisi ...Asante Makonda..... PIA Polisi wanatembelea magari bora ....Again Asante MAKONDA kwa ukarabati...Uzuri hajawahi kufanikisha kitu, yote huwa yanaishia njiani.
Makonda hajawahi fanikiwa ahadi zakeMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha yamkini ni mie . ngoja nikajiridhishe. Kuna beer zile unazozipendaga zimenizunguka huku zinakusubiriIla hiyo I'd ni ya kihenga nikakumbuka ulishawahi niambia hahahahaha thread hapahapa habari na hoja mtu kaibiwa vifaa vya gari
Nitumie nauli nikuje basi [emoji1787]Hahahaha yamkini ni mie . ngoja nikajiridhishe. Kuna beer zile unazozipendaga zimenizunguka huku zinakusubiri
Hii ni maalumu kwa wanaume wa Dar es Salaam, wavulana wa mikoani mtaendelea kunywa vinywaji vyenu kwa bei ya kawaida. Hii ndiyo tofauti ya DAR na mikoani.
njoo namlipa huku huku..ukifikaNitumie nauli nikuje basi [emoji1787]
HIYO INAITWA PROMOTION, kweli ushamba ni mzigoMwanaume wa dar akifurahia kununuliwa kinywaji kwa nusu bei na mwanaume mwenzake.
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sautinjoo namlipa huku huku..ukifika
Hah kwanini sasa[emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti
Hahaaa ni vile unajua nauli ikifika kwangu sitakujaHah kwanini sasa