HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Mi sijaelewa namna atakavyo fix hvo vinywaji kwa wauzajiMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha na wewe utakuwa ni wahatari yani uridhike tu na nauli utokomeee? Ntacheka sanaHahaaa ni vile unajua nauli ikifika kwangu sitakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huonagi thread za watu wanalialia kukimbiwa bada ya kutuma nauli na block juuHahaha na wewe utakuwa ni wahatari yani uridhike tu na nauli utokomeee? Ntacheka sana
Hata rais hawezi kushusha bei ya vinywaji vilivyopo dukani kiholela namna hivyo.Kwahyo anataka watu wafanye kagomba ya vinywaji
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanawashwaga na Id mpya ndo yanawakuta hayo.. Iv ni nauli tu ndo mnawekeana na block juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huonagi thread za watu wanalialia kukimbiwa bada ya kutuma nauli na block juu
Hahahhaha itakuwa ni nauli tuHao wanawashwaga na Id mpya ndo yanawakuta hayo.. Iv ni nauli tu ndo mnawekeana na block juu
Haka jamaa siku nyingine kanaongea vitu gudi sana.Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe na VISA na kitambulisho cha uraia...
Atawafidia wafanyabishara katika hilo punguzo la bei? Influence yake ndani ya jiji inahusiana vipi na kupunguza bei za vinywaji ndani ya jiji...mtajiuliza maswali sana ila he owns the city ni ukweli usiopingika ana influence , akitoka raisi yuko powerfull sana nguvu nyingi imetumika kumwangusha ila woii hata hajatingishwa kucha ....sema sijui pesa anatolea wapi maana ukionganisha maneno yake duuuu utadhani mo *2
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nilivomuelewa,anasema kuwa watafunga baadhi ya mitaa na kufanya party,pia vinywaji vitakua nusu beiMi sijaelewa namna atakavyo fix hvo vinywaji kwa wauzaji
Nasikia Kuna lile zee Lina hela kama mchanga limerudi ndani ya nyumba so bill zote linalipa hilo.Hio hasara atalipa nani sasa?
Hiyo haiusiki